Kwa wataalam wa hisabati tu

Nafikiri mtoa mada alimaanisha (259) x (umri wako) x (39) = (umri wako) (umri wako) (umri wako)

Hii ni kwasababu (259) x (39) = 10101
Sasa ukijumlisha zao la mamoja, mamia na makumi elfu na umri unapata hizo namba zinazo fanana

1 x (umri wako) + 100 x (umri wako) + 10000 x (umri wako) = (umri wako) (umri wako) (umri wako)
onesha kwa mwenye mwaka mmoja
 
sahihi kabisa mtu wangu, nilikosea
naomba msaada mimi babu yenu nina miaka 102 nilisoma mpaka darasa la pili kitabu cha hesabu ni highway mathematics book two cha kijani cover yake ina twiga na table ya kwanza mpaka 23 nikajua hesabu zimeisha sasa hiki ni nini?? Au na hesabu zimebadilika
 
Huenda ulikuwa na wazo lakini umepresent sivyo,mi si mtaalam ila sipati jibu kama unavyodai,huenda umekurupuka,si unajua tena ugimbi wa send off/kitchen party umeanza tena.
 
Huenda ulikuwa na wazo lakini umepresent sivyo,mi si mtaalam ila sipati jibu kama unavyodai,huenda umekurupuka,si unajua tena ugimbi wa send off/kitchen party umeanza tena.
mwanzo kulikuwapo na kosa, lakini hapo kati CHAMOTO amelibaini na kutoa majibu ya kinachotakiwa, yaani kueleza kwa nini ilikuwa hivyo.
 
nyie watu wagumu kuelewa...unajua mpaka kuingia jamii forum lazima uwe 18+ naamini mtoa mada alimaanisha umri wako (wewe ulie ndani ya jamii forum) so ukifanya (umri wako) (259) (39) = (umri, umri, umri)....nadhani hapo hata vilaza wameelewa.
 
nyie watu wagumu kuelewa...unajua mpaka kuingia jamii forum lazima uwe 18+ naamini mtoa mada alimaanisha umri wako (wewe ulie ndani ya jamii forum) so ukifanya (umri wako) (259) (39) = (umri, umri, umri)....nadhani hapo hata vilaza wameelewa.
naomba msaada mimi babu yenu nina miaka 102 nilisoma mpaka darasa la pili kitabu cha hesabu ni highway mathematics book two cha kijani cover yake ina twiga na table ya kwanza mpaka 23 nikajua hesabu zimeisha sasa hiki ni nini?? Au na hesabu zimebadilika
 
MRONGO WEWE
KAJIPANGE UPYA

HKL AFU UNAJITIA PCM?
pamadakupaku!!!!

tatizo mnakurupuka kusoma swali na matokeo yake hupati concept, rudia swali vizuri na kwa makini na utaona amesema unazidisha umri wako x 259 x 39 then endelea kuhakikisha, ok?
 
SAMAHANI SANA: kwenye post niliacha namba moja.

Usahihi: zidisha 259 x umri wako x 39

.

hii inakubali kwenye namba nyingi sana na inakataa katika namba chache mfano 1,2 ..... ambazo zinaleta 10101, 20202, ...... big up!
 
atakuwa kakurupuka na kanamba kake kamoja kalikokubali halafu anageneralize! maths is not about mkurupuko.

mfano miaka 28; 28x259 = 7252
sasa 7+2+5+2=16

wee bana wee then chukua 7252 x 39 = 282828. upo?
 
Nafikiri mtoa mada alimaanisha (259) x (umri wako) x (39) = (umri wako) (umri wako) (umri wako)

Hii ni kwasababu (259) x (39) = 10101
Sasa ukijumlisha zao la mamoja, mamia na makumi elfu na umri unapata hizo namba zinazo fanana

1 x (umri wako) + 100 x (umri wako) + 10000 x (umri wako) = (umri wako) (umri wako) (umri wako)
Hii technic ni applicable kwa umri wowote ule ila inagoma kwa mtoto mwenye mwaka 1 au kikongwe wa miaka 100,ni nzuri na nimeipenda,mtanisamehe wana JF,kweli nilikurupuka bila kusoma heading ya thread ambayo ni kwa wale wanaojua hisabati tu na si kwa watu kama mimi darasa la saba B.
 
Nafikiri mtoa mada alimaanisha (259) x (umri wako) x (39) = (umri wako) (umri wako) (umri wako)

Hii ni kwasababu (259) x (39) = 10101
Sasa ukijumlisha zao la mamoja, mamia na makumi elfu na umri unapata hizo namba zinazo fanana

1 x (umri wako) + 100 x (umri wako) + 10000 x (umri wako) = (umri wako) (umri wako) (umri wako)

Conditions

1. (Umri Wako)>10 and (Umri wako)<100

mfano

umri wako ukiwa 777 then {777 + 777 x 100 + 777 x 1000}= {777+77700+777000}= 855477 and the formula is violeted already

Kaazi kweli kweli
 
jamani msilalamikie mkuu wakati fomula yake mmeikosea, ni hivi,
259x31(mfano)=8029
then 8029x39=313131 nadhani alimaanisha A=umri the tripple 31
 
Hahahaaaaaaaa Rose1980 unihekisi sana mboni!!! nikukamwili kumbi na veve wihuna uku na kunaniliu anuu?
 
ila hiyo kanuni inachemsha kwa namba chini ya 9. haiji hivyo asilani abadani. mimi umri wangu ni mwaka mmoja. kwa hiyo haitokuwa 111 bali inakuwa ni 10101 far away from your rule
 
Back
Top Bottom