Kwa Wataalam wa hesabu

Hahahahahahahahahaa
Ni swali ambalo unaweza ukamuuliza mwanafunzi, wapi pana kosa! Ninaamini wewe unajuwa kosa lipo wapi. Kama unafahamu kuwa zero divide by zero can be certain number, depending to the nature of the numerator and denominator....kama ni zero gawanya kwa zero basi tunaweza kutumia L'Hospitals rule.
Kwanini nasema zero gawia zero? Ulipofika x-y/x-y; hi ni sawa na 0/0 maana x=y. Sasa ikiwa hiyo Never conclude kwamba ni 1.
Ninaamini nimeeleweka wapi palipo kufanya u-conclude kuwa jibu ni moja. Jiulize kwanini namba yoyote ukiigawa yenyewe kwa yenyewe jibu ni moja lakini 0 gawa kwa 0 si moja?

hospital rule? mambo ya hospitali yanatoka wapi kwenye hesabu?
na mtuambie mnatumia hospitali ipi? kcmc? mhimbili? bombo?
acheni kutudanganya....mi nnachojua hesabu ni ngumu lakini haziumwi.
 
Acha kutuibia, mi mwenyewe nazifahamu hesabu bwana, o/o ni undefined, and not 1.
 
Je unajua kuwa 2 = 1?

Wataalam wa hesabu tunasema kuwa kama x=y
basi 2x=2y
kwahiyo 2x-x = 2y-y si sawa?
Maana yake ni kuwa 2x-2y = x-y hapo hakuna ubishi naamini.
Hii ni sawa na kusema 2(x-y) = (x-y)
kwamba 2(x-y)/(x-y) = (x-y)/(x-y)
Na hiyo inathibitisha kuwa 2 = 1
Kwa wasiojua hesabu watabaki wanatoa mimacho, hawaelewi kitu halafu bahati mbaya watabisha!

Good Day Mathematicians!
nenda kasome MAGAZIJUTO huwezi kugawanya bila kufungua mabano utakuta 0/0 is undefined,
 
Je unajua kuwa 2 = 1?

Wataalam wa hesabu tunasema kuwa kama x=y
basi 2x=2y
kwahiyo 2x-x = 2y-y si sawa?
Maana yake ni kuwa 2x-2y = x-y hapo hakuna ubishi naamini.
Hii ni sawa na kusema 2(x-y) = (x-y)
kwamba 2(x-y)/(x-y) = (x-y)/(x-y)
Na hiyo inathibitisha kuwa 2 = 1
Kwa wasiojua hesabu watabaki wanatoa mimacho, hawaelewi kitu halafu bahati mbaya watabisha!

Good Day Mathematicians!
hakuna ki2 km hicho,labda ulisoma kipind mungai ni wazir wa elimu
 
Je unajua kuwa 2 = 1?

Wataalam wa hesabu tunasema kuwa kama x=y
basi 2x=2y
kwahiyo 2x-x = 2y-y si sawa?
Maana yake ni kuwa 2x-2y = x-y hapo hakuna ubishi naamini.
Hii ni sawa na kusema 2(x-y) = (x-y)
kwamba 2(x-y)/(x-y) = (x-y)/(x-y)
Na hiyo inathibitisha kuwa 2 = 1
Kwa wasiojua hesabu watabaki wanatoa mimacho, hawaelewi kitu halafu bahati mbaya watabisha!

Good Day Mathematicians!
Babu,

Uongo wako umeanzia pale "Let X = Y",
Pengine Hizo X & Y ndio 2 & 1 zenyewe.

So huja - prove 2 = 1,
Bali ume - assume 2 = 1 then ukawa una - prove your own assumption Babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom