kwa wataalam wa hardware

nxon

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,162
406
naomba kuuliza wakuu eti kuna hatari au madhara yoyote nataka kuweka HDD ya laptop kwenye desktop computer?
 
Unaweza kuitumia kama externl hard drive kwa kuinunulia Housing la external lile, ila am not sure kama utaweza itumia kama internal hard drive koz connector haziwezi kuingiliana mkuu. Nenda kkoo kanunue jumba la external kikubwa ni kujua hard drive yako ni IDE au SATA.
 
ni SATA nataka niweke iwe internal HDD
 
kuhusu kuiweka kama internal am not sure bro koz connector zinatofautiana, labda jitie kkoo ukatafute connector za SATA kwaajili ya desktop koz desktop za kisasa zinatumia SATA. Huenda utafanikiwa bro nenda kwa maduka ya computer uulizie tu.
ni SATA nataka niweke iwe internal HDD
 
Connector za aina zote zipo Kariakoo,na wengi tu wanatumia HDD za laptop kwenye desktop computers bila tatizo
 
thanks for your respons wakuu nitafanya hivyo appreciate!
 
kuhusu kuiweka kama internal am not sure bro koz connector zinatofautiana, labda jitie kkoo ukatafute connector za SATA kwaajili ya desktop koz desktop za kisasa zinatumia SATA. Huenda utafanikiwa bro nenda kwa maduka ya computer uulizie tu.

computer ni hp ya kisasa kila kitu ni SATA
 
naomba kuuliza wakuu eti kuna hatari au madhara yoyote nataka kuweka HDD ya laptop kwenye desktop computer?

kabla ya kujibu swali lako naomba nikuulize swali...je hiyo hard drive unataka kuiweka kwenye desktop kwa ajili ya matumizi gani?
 
Back
Top Bottom