Kwa wasiomjua Magufuli, Je, anafaa kuwa Rais?

Status
Not open for further replies.
Hakuna jipya wanajamii , neno moja ndilo kila kitu kwa raise ajaye no Hekima na magufuli hana hiyo kipawa cha zaidi atapeleka nchi kwa majivuno na hatutafika
 
yaani kwanzia
1964hadi wa leo unakula tu ugali na
sukuma kazi ni kubadilisha tu mpishi,
sasa tumesema round hii na Mungu
atusaidie tutabadilisha
 
Nawashanga sanaaa wantanzania
MTU unakuta nimchafu unaambiwa
ukaoge kuna safar ama mtoko
unaenda kunawa kichwa namigu
makuful nimwili mmoja kwaiyo kuosha
kichwa tu siyo suluu bado mchafu
 
MAGUFULI kama ndie jembe ndani ya ccm, swali je! atawezaje kufanya kazi na mawaziri mizigo?
 
Mkuu hapa unampa sifa Maghufuli hayo yote aliyoyafanya ni kwa maslahi ya watu wa jimboni kwake,ungesema amepora ardhi ili kujinufaisha yeye binafsi au kumpa ndugu yake au mwanae ingekaa vizuri. Kwa tukimpa nchi atapigania maslahi na mipaka ya nchi kama alivyofanya katika himaya yake ya jimbo. Sasa ukisema hafai ni nani zaidi yake ndani ya CCM? Ni kheri yeye ni mwenye chongo kati ya vipofu.
 
Zaidi ya magufuli ni ufisadi na wizi wa nyumba za serikali maana amejimilikisha nyumba za serikali kifisadi hadi anampatia hadi hawara yake. Leo watumishi wa serikali wanalazimika kuishi nje ya jiji na wanasafiri kwa umbali wa km 30 na zaidi kwenda na kurudi kazini kisa nyumba za serikali zimeuzwa kifisadi na huyo magufuli wako. Hafai kuwa rais wa Tanzania. Ni bora ya slaa au Lipumba ama mbowe.
 
Burigi!!!!!!!!!! Hilo jina lako ni pori huko Biharamulo Magh, sasa wewe ni mmoja wa watu mnaolaumu " Mbaazi ikikosa maua Husingizia jua" tafuteni mchawi wa Biharamulo, mwacheni Pombe afanye anayoyafanye yeye ni bora sana kuliko hao mnaowafanyia kazi maana isije kuwa ni mbio za 2015 ndo mnaanza kuweka mazingira kwa watu wenu.

Duh!kumbe mambo yalianza mapema!
 
Mkuu Buzwagi haipo Biharamuro, au mi nimepoteza kumbukumbu! lakini hapana nimefanya interview hapo mara mbili najua iko kahama. hayo mengine yawezekana yapo na siyo kwa Dr Magufuli ila ni mtindo wa CCM wengi niseme karibu 90% ya wabunge wanafanya hizo mbinu. Maoni yangu, CCM hawatakiwi Tanzania bara.
Kijana una mawani ya Mbao, Wapi jamaa kasema BUZWAGI?, hakuna hilo neno kwenye hilo Bandiko. Amesema TULAWAKA , ni mgodi ambao upo mbele ya Runzewe ,zamani ulikuwa ndani ya wilaya ya Biharamulo kwa sasa upo Chato. Tumia Macho yako vizuri. Wewe ni Mshamba ,Kila mtu anajua kuwa Buzwagi ipo Kahama.
 
Kwa ngojera kama hizi Magufuli huwezi mchafua,kwanza katika maandishi yako yote hauja onyesha ni wapi Magufuli amewahi kuiba zaidi ya kuipendelea Chato ambalo is jambo baya! Sasa suala la kupendelea Chato huwezi aminisha Watanzania kuwa Magufuli hafai! Haya ni maoni yako kama mtanzania na Mwananchi wa Wilaya ya Biharamulo ambayo siku zote inalia kuwa Magufuli aliwadhurumu barabara ya lami na kupelaka Chato!

Hii inaonyesha Magufuli ana Ubinafsi
 
Kijana una mawani ya Mbao, Wapi jamaa kasema BUZWAGI?, hakuna hilo neno kwenye hilo Bandiko. Amesema TULAWAKA , ni mgodi ambao upo mbele ya Runzewe ,zamani ulikuwa ndani ya wilaya ya Biharamulo kwa sasa upo Chato. Tumia Macho yako vizuri. Wewe ni Mshamba ,Kila mtu anajua kuwa Buzwagi ipo Kahama.
Duh binti lugha kali sana kwa mtu mzuri kama wewe. Anyway, kipindi bandiko linawekwa huyu Mhe aliweka Buzwagi badala ya Tulawaka.
 
Kweli ulimi kiungo kidogo sana.Huku kwetu alisema asiye na mia mbili apige mbizi....Sijui mwenyewe anakumbuka harufu ya mdomo wake...
 
Kwanza makufuli kapata ajali ya kuteuliwa kuwa mgombea wa ccm.
Yeye mwenyewe alishangaa coz hakustahili. Ni mkurupukaji sn jamaa
 
Status
Not open for further replies.
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom