Kwa wasio na familia(wasio na watoto)

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Assume one day ukaenda kupima damu ukakutwa umeambukizwa HIV au nduguyo ametest positive(just assumption), utaendelea/utamshauri kuwa na mipango ya kuoa/kuolewa na kuzaa watoto? Kwa nini?

Wewe nani kakwambia muathirika haitaji love na family? Kuna jamaa hapa alishatafuta mchumba muathirika mwenzake!

Assume mna ndoa already; mtaachana mkigundua mna ngoma!

Bora aoe/aolewe ili maambukizi yasienee!

oppressers and hummiliaters can do so!

just advice each other how to go around n nt to humiliate them. Mtu anaweza kupata ushauri humu na ukamsaidia. Wengi wetu hatujui how a family with positive couples can live mpaka wale walio free to talk with docs. Dont take it as a humiliation

Wewe nani kakwambia muathirika haitaji love na family? Kuna jamaa hapa alishatafuta mchumba muathirika mwenzake!

Assume mna ndoa already; mtaachana mkigundua mna ngoma!

Bora aoe/aolewe ili maambukizi yasienee!

thanks mkuu, how ar u going to advice them kuhusu watoto?

Assume one day ukaenda kupima damu ukakutwa umeambukizwa HIV au nduguyo ametest positive(just assumption), utaendelea/utamshauri kuwa na mipango ya kuoa/kuolewa na kuzaa watoto? Kwa nini?

we nawe,kwan m2 akiwa positive hawez kuoa au kuzaa?

thanks mkuu, how ar u going to advice them kuhusu watoto?

Mbona wanazaa tu; washauri nasaa wako kibao! Wawaone wataalamu watawaambia how to concieve na kumlinda mtoto dhidi ya maambukizi! Ila muda mwingine wote no condom kwa kwenda mbele!

Kwa kweli kama umeathirika na mwenzako hajaathirika yakubidi umwambie ndio akubaliane either kuoa?olewa na wewe, na mfate masharti yote mtakayopewa na daktari

Back
Top Bottom