Kwa wasichana tu plzzzzzzzzz

unajisikiaje mvulana wako anakuambia kua siwezi kukupigania hata siku moja....... kwanini nife kwasababu yako wakati wasichana wako kibao...hapo kuna love kweli

Yeah,..
Ana kupenda sana ndo maana anakwambia ukweli.
 
ilo liko wazi ............ila sio mzuka kumwambia mwenzio live eti cwez kukupigania hata siku moja wanawake wako kibao mm sinitaonekana chizi kukuganda ww tu

Sasa ndio uwongo ktk mapenzi na kupotezeana mda kwann usimwambie kama huo ndio ukwel wenyewe?
 
Kwa Wasichana au Wanawake au Wadada Tu? Any way napita tu kuna mdada wa JF Kaniomba lift:
superman700cropped.jpg


Ha ha hahaha si unitaje tuuuuuuu
 
Ha ha hahaha si unitaje tuuuuuuu

Mmmh, kumbe pia nimewahi kukupa lift eeh . . . mi huwa sikumbuki bana nasaidia watu tu . . . . Kama vipi ukitembelea "Love Calculator" nijulishe matokeo . . . . Sorry kuna mwingine kaniomba lift . . . .
Superman_Lois_standup.jpg
 
Afu wewe dogo, nani kakuruhusu kuvuta bhange yangu? Ntakusemea kwa dingi!

My sisy am very sorry hata nimetumia hii lugha kuonesha mcctizo tu,ucjali nitaireplac soon kuna dogo nimewagiza akileta nakurudishia!mambo ya mdingi potezea bac!
 
Lakini tukija kwa upande wa pili.......kama wewe ndie ulieanza kuyakosea thamani mahusiano yenu, basi sio mbaya kama kampata m-bora ambaye anaona thamani yake ni kubwa kuliko wewe!! So, kukwambia hivyo....anaona ni bora akampiganie huyo mwingine kuliko wewe usiejua kuthaminisha!!!

Ok,km kuna mapungufu ameyaona kwangu na ameamua kuhamia,c ananambia tu wajamen yann kumizana moyo kwa kauli za ajabu!
 
unajisikiaje mvulana wako anakuambia kua siwezi kukupigania hata siku moja....... kwanini nife kwasababu yako wakati wasichana wako kibao...hapo kuna love kweli

Akili Mu-kichwa Aminata.................!
Samahani kumbe sikhusiki kabisa hapa....................LOL
 
Inategemeana na wewe una mapenzi kiasi gani kwake. Wanawake wengine Loh!!!! unajuta kwanini ulikutana naye na halafu ndio kama mpo kwenye ndoa ya kikristu ndio dah!! inakuwa bora kabisa....
 
Mambo ya kupigana uyamepitwa na wakati. Yeye anamaanisha kama ni lazima kukugombania akupate bora a let go nadhani yupo sahihi jamaa yako.
 
Ladies . . . you need to understand what Exactly Love means . . . . before you conclude . . . mkitualika JF Mens nitarudi . . . Kwa sasa napita tena . . . . Niko na Dena Amsi . . .



supermanloislane1.gif
 
unajisikiaje mvulana wako anakuambia kua siwezi kukupigania hata siku moja....... kwanini nife kwasababu yako wakati wasichana wako kibao...hapo kuna love kweli
immature minds speak shits like that......ila pia we dont suppose to fight for a love....we simply make love ,give love ,receive love n.k ,we dont fight for for it labda kwenye tamthilia tu na movie.
japo hiyo lugha iliyotumika kukuambia ni ya kitoto zaidi na inaashiria you are no longer( hupendwi ,huthaminiwi tena)
 
unajisikiaje mvulana wako anakuambia kua siwezi kukupigania hata siku moja....... kwanini nife kwasababu yako wakati wasichana wako kibao...hapo kuna love kweli

wewemwanamke una matatizo , mimi hukunielewa kabisa ..yaani wewe unafanya upumbavu ili mimi niende nikagombane na watu eti kwa kitu ambacho nilikukataza sasa mapenzi yako wapi hapa.? wewe ndio unaleta visa na nilishakuambia kuwa ni kweli mimi nimekukataza kufanya baadhi ya vitu , sasa eti kwa vile nilikukataza kuongea na fulani ndio nikikuona naye niende kupigana naye eti ndio wewe unafurahia? kunguru always hafugiki nakuangalia tu
 
Back
Top Bottom