Kwa wasichana tu plzzzzzzzzz

Tht guy must b ver coward.
Na cdhani kama hapo ishu ni kwamba eti ni wingi wa wasichana he just can't stand hit au he doesn't love u at all.
 
Unaweza ulie ujue, tena utamkuta anakwambia, una uhuru wa kuamua kuendelea na mm au la sbb, sitakuwa tayari kubare your problems.
yani acha tu mana ni machungu makali sana unampenda mtu saaaaaaaaaaana alafu yy halioni hilo...........hajui kumvalue mwanamke hata ni nini maana yake
 
yani shoga we acha tu............mana ni zaidi ya zarau

Yani inabidi unaugulia ndani kwa ndan na kuanza kucheki kwenye waiting list nani anaeleweka then unamfanyia sapraz na kumpika chini jamaa na kusongesha na anayeeleweka,maana inauma sn ushajitoa kwa ajili ya mtu alafu anakujia na kauli za dharau km ivo!
 
Na ukute hapo anavinjari na mwengine siku nyiingi, anakuwa ankusanifu tu. Na anakuwa amekuchoka kweli kweli.
Dawa ni kusepa tu, na kuangalia ustaarabu mwingine.
 
umenifurahisha sana mpz na waiting list inabidi nikaangalie huko kwa sasa na kumpa mtu bonge la sapraz
 
Dada ww acha tu!cjui kwann wanaigiza kupenda ile hali moyon hamna kitu!ndio maana mapnz ya kweli yamebaki msamiati mgumu!
tena mgumu sana kwelikweli.............naona ya dhati ni ya mungu kwa waja wake tu basi
 
kila siku nikiamka "REAL LOVE" hiki kitu ni nini jamani katika ulimwengu huu wa shida mpaka basi.

WHAT IS REAL LOVE? ask ur self then recall ur previous history of love affairs/
 
duh! kweli we ZE ONE
 
yani acha tu mana ni machungu makali sana unampenda mtu saaaaaaaaaaana alafu yy halioni hilo...........hajui kumvalue mwanamke hata ni nini maana yake

Kuna kitu kimoja wanawake mnakisahau mnapoanzisha mahusiano. Kitu chenyewe nikumfanya mwanaume abebe mzigo wote wa matatizo yako bila kujali.
 
Na ukute hapo anavinjari na mwengine siku nyiingi, anakuwa ankusanifu tu. Na anakuwa amekuchoka kweli kweli.
Dawa ni kusepa tu, na kuangalia ustaarabu mwingine.

Ashukuriwe mungu hakuna mwenye uwezo wa kujua yaliyo moyon mwa mwingine vinginevo dunia ingebaki tupu na wanyama tu na binadam ungekuta tushauana kwa kugundua namna mtu anavojipanga kumtapeli mwenzie kimapnz!
 
Dada ww acha tu!cjui kwann wanaigiza kupenda ile hali moyon hamna kitu!ndio maana mapnz ya kweli yamebaki msamiati mgumu!

Mapenzi ya siku hizi yamebaki kwenye vitu na sio kwenye moyo.
Mwanaume anamuacha mwanamke anayempenda lakini anamfuta mwanamke mwingine kwa kigezo cha sura au umbo. Hivyo hivyo mwanamke anamwacha mwanaume anae mpenda nakumfuata mwanaume mwingine labda mwenye fedha au handsome.

Yaani siku hizi ni vururu vururu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom