Kwa washauri wa JK tu...

Imenickitisha sn, bt JK ni ckio la kufa liclo ckia dawa. na hiyo list ni ndogo kwn mpk atoke atakuwa amefanya madudu meng sn akijua huo ndio mwisho wake.
 
Maswali na hoja za kimajungu!

Kama maswali haya unayaita ni ya kimajungu basi weka yako maswali ya hekima na busara ambayo yanaweza kumsaidia akajua kama kweli ameiweza kazi tuliyompa!! If he manages to answer these questions, he will be doing his self-evaluation of his performance since he came to office.
 
Ndugu umeongea vitu vinavyo_touch vibaya... Hii akiipata mkwe.re lazima atatafakari mwaka mzima. Ajui kuwa waTanzania tumeamka sasa"

Na kiongozi makini lazima kichwa kitamuuma.

Ndio maana Mutharika wa Malawi kapata heart attack na kufa.
 
duuh nimekubali hii nchi ina wailao kama wewe ni maskini basi utabaki hivyo tu.
Hivi kwanini JK asijiunge na JF akasoma hoja nzito kama hizi akaacha ukiritimba wa kuingilia uhuru wa mahakama?
 
Mpaka kesho uzi huu utakuwa haupo, najutia kwa nini natumia simu maana nigesave kabisa kabla jopo la maMoDs halijafanya vitu vyake.
 
Mpaka kesho uzi huu utakuwa haupo, najutia kwa nini natumia simu maana nigesave kabisa kabla jopo la maMoDs halijafanya vitu vyake.

mkuu tutafuatilia utkuwepo tu kama wakiutoa basi JF itakuwa hacked.
 
Rais wangu JK,mimi kiukweli sikukuchagua naomba kama ulivyozoea kukaka na wazee wa dsm kupiganao majungu na mipasho,anza sasa kujibu maswali kwa staili yako ileile ya mipasho
 
MWANDISHI MMOJA WA MAGAZETI YA MWANAHALISI ALIWAHI KUSEMA

The Man is busy na modem ya Ikulu "referring tangazo la easy net"
Mimi nasema: Endelea tu Mjomba kula..KULA. " kwani nani alisema katiba ya Tanzania inaruhusu kushitakiwa utakapostaafu?" nA NANI ALISEMA HATA HII MPYA IJAYO ITAKUWA NA VIPINGELE HIVYO? kamua tu baba wala hatukugusi....kula vyote na wakina mwana.sha.!!

HAWA WANAOJIITA WA TZ NA MASWALI YAO WOTE "WAPUUZI" MTANZANIA WA KWELI UPO PEKE YAKO NA KINA riz 1, mir..ji na wengine, KULA BABA.
Utakuwa mjinga ukiondoka ujabeba, yakichenji, usijali utaenda ishi kwa BWANA Bush W kule una maswahiba Hata Mwana wa wakenya uliyeenda kuomba urafiki, ukawa wa kwanza Toka E.Afrika kuonana naye utaishi KWAKE pindi hawa vinyamkela wa TANZANIA WAKITAKA KUKUFANYA KAMA MAREHEMU GADDAF.

Hata Bwana X-Gavanna najua hawezi kukutupa! Achana na mhuni huyu anakuuliza Wimbo wako wa Ari Mpya na Kasi haha, hana Jipya labda hajui studio uliyorekodia iliungua na master kopi ikawa imepotea, baati mbaya UNCLE hukua na kopi ya zida.


:disapointed: uncle Endelea KULA Dunia bado mbichi Wala walibya Sio Watanzania
 
Ningemwambia viongozi vilaza wote awapige chini na pia aweke vipaumbele kuijenga tanzania,tanzania inanuka ebu nenda japenga au beijingi uone yani ukirudi tz utazani unaingia chooni tena choo cha baa ya uswazi.
 
kwenda kupitisha bakuli ulaya, kwakweli hiki kitu kinatuabisha sana watanzania lakini wengi hamjui kwasababu hamsomi magazeti ya magharibi.
 
Back
Top Bottom