kwa wapenzi..!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Mrembo uko bar mchana wapata raha na mwandani wako(ambaye hamna hata mwaka ktk mapenzi).. unajckia kwenda maliwato kutabaruku.. wamuaga mwenzako, unanyanyuka na wageuka kuelekea chemba.. Ile kugeuka tu...jamaa yako anakupiga kofi la wowowo afu analiminya ki-namna ya mahaba..MBELE ZA WATU nawe ni mrembo mwenye staha zako!! mrembo...utafanyeje? kama wewe kdume ktk hali hyo wafanyiwa na barafu wako utafanyaje?
 
mimi ni kidume bwana nitanyamaza na kumuamuru tuelekee home mimi ka mimi nitamshushia cosovooo hilo baada ya hapo achukue zake time maana ukimnyamazia na kumbakisha atakuchoma madoko huyo chunga sana wanawake huwa wanamajaribu sana ukilegea tu umeumia wangu
 
MADOKO:confused2::confused2::confused2:
 
Mimi kidume nitamjua kuwa kumbe anataka kumegwa huko....! Hivyo, nitamvumilia halafu baadaye nampatia chake na iwe mwisho...!
 
Mimi kidume nitamjua kuwa kumbe anataka kumegwa huko....! Hivyo, nitamvumilia halafu baadaye nampatia chake na iwe mwisho...!

:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:
 
Back
Top Bottom