Kwa wapenzi wa tamthiliya ya Shades of Sin!

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
10,315
6,845
Pretta is pretty crazy, mzuri sana kwa sura lakini IQ yake ni ndogo sana. Huyu na Appollo wote akili zao zimefanana. Jana kamfanyiam kitu kiaya sana Philip, something rarely forgivable!

Mimi namfagilia sana Germana, hata Tony na Barbra; japo criminals lakini IQ zao ziko juu, huwezi kuwalinganishana na akina Appollo na Pretta. Combination ya Pretta na Appollo itakuja kuibua kitu kibaya sana kwenye mapenzi huko mbele.

I also like Kaki, Mumschka na watoto wake crazy, Moa, Kika na wengineo. Pretta na Appollo are just confused comedians with very low IQs (of course nawasemea katika mchezo tu na sisemei katika hali halisi)
 
Back
Top Bottom