Kwa wapenzi wa smartphone aina ya "Samsung"

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Hello wanajamvi ...natumaini hamjambo wote ..naomba kujua kutoka kwako unayesoma Uzi huu na mpenz wa smartphone za uhakika na za kijanja...smartphone ipi ya Samsung unaikubali na inaonekana Kali na kijanja kati ya matoleo yaliyopita ya simu aina ya Samsung ...please let's share!!! (Ukiacha toleo la Sasa hiv la Samsung galaxy note 5) .
Karibuni !!!
 
kwa upande wangu mimi week iliyopita nimeagana na samsung nafikiri sitakaa ninunue simu za aina hiyo tena sababu ni hizi hapa mwaka jana nilinunua samsung galaxy Note 3kwenye duka moja maarufu hapo posta mpya walinipa na warrant ya mwaka mmoja bei ilikuwa ni laki 9 wakanipunguzia ka 20 baada ya mwaka mmoja kamili kupita ghafla simu ilikuwa inanionyesha kuwa haiko registered kama vile hakuna sim card ndani nilienda nayo samsung j mall nikiwa kwenye foleni ya kumuona muhudumu kati ya watu watano waliokuwepo mbele yangu watatu walieleza shida zao nikiwa nasikia shida inayofanana na yangu mmoja alisema yeye alitokanayo nje na ilipofika hapa alitumia kwa siku mbili ikaanza hiyo shida kwa ujumla wote tuliambiwa kama hatuna warrant basi simu hizo zitakuwa zimekufa japo kila kitu kinafanya kazi vizuri kwa maana kama ukiipa wifi toka simu nyingine unaweza kusoma mambo yako kwenye whatsapp email nk shida ni sim card tu hatosoma tena niliingia kwa mafundi wa mtaani kwa mapokezi walijitapa wao ndio pekee wanaweza samsung hawawezi hilo niliambiwa nirudi baada ya masaa matatu tu lakini niliambiwa bado bado mpaka ikafika masaa 48 kwa wakati nikisubiri nilianza kutafuta solution kwenye youtube kuna page niliingia nikakuta watu 327,000 wanatafuta solution ya tatizo hilo na waliojaribu kutoa maelekezo ya kulitatua majibu ya coments ya waliojaribu kufuatilia msaada wa maelekezo nikuwa walishindwa kutatua tatizo kulingana na maelezo yaliyotolewa mmoja wa fund wa mtaani aliniambia anasimu 3 zinatatizo hilo ameweza kutengeneza moja lakini pia hajadhubutu kumrudishia mteja kwakuwa inaweza kuwa hewani masaa mawili then ikarudia kuonyesha haiko registered binafsi najiuliza kwanini wanatengeneza simu ambazo ukitoka nayo nchi moja kwenda nchi nyingine inaanza kukuletea matatizo zamani ilikuwa haiko hivyo naogopa kuingia kwenye mtego wakati nanunua hiyo simu kuna mwenzangu mmoja alinunua sony experia z haina shida na wala sijasikia au kusoma matatizo yasimu za sony au labda kwakuwa haziko nyingi hivyo kaka kabla hujanunua soma mitandao kupata choice ya uhakika kama unataka kununua simu ya hela nyingi
 
Mi Naikubali Hii simu Samsung Galaxy Note 3.. Nimeitumia Mwaka Mzima Ipo Poa Sanaaaaa No Lagging sana nakumbuka Toka Niitumie Imeshalag nahisi Mara Mbili tu kwa Mwaka Mzima...

Ingawa Now Natumia Galaxy J7 maana Nilihitaji Simu ya Line Mbili Ila Note 3 Ipo Poa.. Na J7 Nayo Ipo Poa Sanaaaa Pia
 
kwa upande wangu mimi week iliyopita nimeagana na samsung nafikiri sitakaa ninunue simu za aina hiyo tena sababu ni hizi hapa mwaka jana nilinunua samsung galaxy Note 3kwenye duka moja maarufu hapo posta mpya walinipa na warrant ya mwaka mmoja bei ilikuwa ni laki 9 wakanipunguzia ka 20 baada ya mwaka mmoja kamili kupita ghafla simu ilikuwa inanionyesha kuwa haiko registered kama vile hakuna sim card ndani nilienda nayo samsung j mall nikiwa kwenye foleni ya kumuona muhudumu kati ya watu watano waliokuwepo mbele yangu watatu walieleza shida zao nikiwa nasikia shida inayofanana na yangu mmoja alisema yeye alitokanayo nje na ilipofika hapa alitumia kwa siku mbili ikaanza hiyo shida kwa ujumla wote tuliambiwa kama hatuna warrant basi simu hizo zitakuwa zimekufa japo kila kitu kinafanya kazi vizuri kwa maana kama ukiipa wifi toka simu nyingine unaweza kusoma mambo yako kwenye whatsapp email nk shida ni sim card tu hatosoma tena niliingia kwa mafundi wa mtaani kwa mapokezi walijitapa wao ndio pekee wanaweza samsung hawawezi hilo niliambiwa nirudi baada ya masaa matatu tu lakini niliambiwa bado bado mpaka ikafika masaa 48 kwa wakati nikisubiri nilianza kutafuta solution kwenye youtube kuna page niliingia nikakuta watu 327,000 wanatafuta solution ya tatizo hilo na waliojaribu kutoa maelekezo ya kulitatua majibu ya coments ya waliojaribu kufuatilia msaada wa maelekezo nikuwa walishindwa kutatua tatizo kulingana na maelezo yaliyotolewa mmoja wa fund wa mtaani aliniambia anasimu 3 zinatatizo hilo ameweza kutengeneza moja lakini pia hajadhubutu kumrudishia mteja kwakuwa inaweza kuwa hewani masaa mawili then ikarudia kuonyesha haiko registered binafsi najiuliza kwanini wanatengeneza simu ambazo ukitoka nayo nchi moja kwenda nchi nyingine inaanza kukuletea matatizo zamani ilikuwa haiko hivyo naogopa kuingia kwenye mtego wakati nanunua hiyo simu kuna mwenzangu mmoja alinunua sony experia z haina shida na wala sijasikia au kusoma matatizo yasimu za sony au labda kwakuwa haziko nyingi hivyo kaka kabla hujanunua soma mitandao kupata choice ya uhakika kama unataka kununua simu ya hela nyingi
Frequency kwani zinafanana...
 
Dah Pole
Mkuu...ntalifuatilia hili pia kabla sijanunua
 
Nashukuru wakuu kwa maoni yenu na kwa ujumla yote mliyochangia...inabid tuwe makin kabla ya kununua hizi smartphone.. Inabid ufanye upembuzi yakinifu kabla hujafanya manunuzi...nashukuru kuna mmoja ameuliza kuhusu s3 ama 5 nadhan kwaio nae tunaomba apewe muongozo ...smartphone unanunua million na nusu halaf after one year Kwisha...sasa si balaa hilo?? Bado tuendelee kupata maoni na experience kutoka kwa wenzetu walizonunua na walichoexperience
 
simu bado unayo?

note 3 ilikuwa na warranty ya miezi 24 so walikufanyia ujanja ujanja hapo. kama bado unayo angalia imei kama ipo *06# pia nenda setting halafu about then angalia pia kama baseband ipo kama vyote hamna inamaana efs imecorupt utahitaji fundi mwenye box akurudishie imei yako ili mtandao wa simu urudi.

pia kuna tetesi nimeziona humu jukwaani halotel inakubali kufanya kazi bila imei, hivyo pia jaribu kueka line ya halotel uone kama itafanya kazi.
 
Nashukuru wakuu kwa maoni yenu na kwa ujumla yote mliyochangia...inabid tuwe makin kabla ya kununua hizi smartphone.. Inabid ufanye upembuzi yakinifu kabla hujafanya manunuzi...nashukuru kuna mmoja ameuliza kuhusu s3 ama 5 nadhan kwaio nae tunaomba apewe muongozo ...smartphone unanunua million na nusu halaf after one year Kwisha...sasa si balaa hilo?? Bado tuendelee kupata maoni na experience kutoka kwa wenzetu walizonunua na walichoexperience
Mimi ni mwanafamilia wa galaxy, nimeeksipiriensi kuwa galaxy za lower range ndio zina matatizo sana ya overheating, kuzima zima ghafla, lagging kibao na Kukosa network sometime, but mid range na high end ziko vizuri. Kwa msaada zaidi ingia GSM arena, tafuta aina ya simu then "users opinions", mimi naifurahia note 4 yangu, thamani halisi ya pesa yangu.
 
nina sm galaxy s3 LTE version kitu ndani ina 32GB nlichukua used lkn inapga kaz fresh sana
 
Achana na Samsung Chen vitu vingine kama Idol3 Idol4 very smooth and faster smartphone pia fly smartphone Nayo IPO currently.
 
Back
Top Bottom