Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wasalaam!

Kwenye filamu ya 'Emperor of the Sea (Sea God) Choi Soo-Jong (ameigiza Emperor Wang Gun; Dae Jo Yeong; The King's Dream; nk) anachuna vikali na Song Il-gook (mwigizaji wa Jumong; Jang Yeong-sil; nk).

Kati ya hao wawili, ni nani mkali wa "Korean Historical Drama"?
 
Choi soo jong almaarufu kama jang bogo ama cansul jang, kim chun chu ni noma sana
 
Six frying dragons nilisikitika alivyouwawa sambong ila nae alinibore alivyokua anampotezea lee bang won wakat alisaidia sana kwennye kuunda nchi mpya

Hahhaha mkuu umenena sambong alitaka kama kufaidi keki peke yake
Ila mm nimemkubali sana muhyul na lee bag ji
 
Anayejua link ya kupakua Dae jo Young With English subtitle aniwekee hapa maana nimehangaika sana kuitafuta hii drama ya 2006 bila mafanikio.
Tafadhali iwe Full episode siyo zile zenye parts 1,2,3...

Cheki website inaitwa kissasian. com.. Hapo zipo series za kumwaga na subtitle zake
 
Weeee umefeli shoga,ile kitu ni noma.
Baada ya Boys Before Flowers ndio niliangalia hiyo.
Nakumbuka ilikuwa 2013.
Nililiaaaaa,itafute kwa bidii utaniambia.
We Nifah unadeka sana hem njoo uniambie kilichokuliza kwenye heirs. Mpaka nimehisi labda sijaimaliza
 
Haaaa basi una roho ngumu Khantwe...
Nililia sehemu kama 3 ila scene iliyoniliza sana ni pale Lee Min Ho alipoenda kumtafuta yule msichana (maid wao na mama yake) kule uhamishoni.

Wakati huo msichana anafanya kazi library..
Yule msichana alimuona na Lee Min Ho alimuona pia (walionana) ila yule msichana akajificha...
Sasa pale Lee Min Ho anapolia na yule msichana anapolia...huku OST (sound truck) ikiwa crying again (Min Jun Myoung)
Achaaaa nililia vibaya sana Khantwe.
Nilisahau kama ni drama naangalia
Ila ni karibia na mwishoni,nashawishika kusema hujaifikia .
 
you are too softhearted my dia mi chozi lilinilenga pale Min ho alivoenda na mwavuli maneno aliyoongea af akasema sitakuja tena leo ndo ya mwisho af alipoondoka tu binti akaangua kilio.
 
Sure
Ukiangalia series na mimi utanichoka.Ni chache sana ambazo silii.
Ila wakorea wamejua kunitesa aiseee.
Drama/series/movie zao zote kali.
 
Back
Top Bottom