Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kweli...
Watoto wa kike ndio huwa wanazipenda zile za town...
Kaka taja yako ambayo umeiona ambayo haiko kwa hiyo list yangu..!
Aaah kuna nyingine kwako sizijui pia

The deep root
General Gye Baek
Yi San
The God of War
Empress Gi
Jewel in the palace
Sword and Flower
The great seer

Aaah na nyingne ntakuwa nime zisahau.
Ila slave hunters aka chuno kwangu ndio all time best
 
Hahaha
Hizo hata wazipambe vipi naonaga zimekaa ki upande wenu zaidi
City hunter nimeiona ila nikaona bado inawafaa nyie wenzetu
Ahaahaaa mbna Iris huisemi.
Mimi naangalia zote za kijijini na mjini. Hlf siku hiz wanafanya kunakua na suti na baadae kijijini. Km Faith, Dr Jin, moon lovers etc.
 
Nimeingia kwenye huu uzi fasta nikijua ntapata jina la ambayo sijaona nidownload maana ndo mambo yangu ila dah!! Nishaona zote
 
Nimeingia kwenye huu uzi fasta nikijua ntapata jina la ambayo sijaona nidownload maana ndo mambo yangu ila dah!! Nishaona zote
Kamanda...
Kuna link moja imewekwa na jamaa mmoja hapo juu...
Naamini ukiingia huko ni lazima utakutana na vyuma ambavyo haujaviona..!
 
Back
Top Bottom