Kwa waonaohitaji magari used yenye hali nzuri

Mitsubishi Rosa nitapata kwa bei poa??
Ipo Bro
1477329897926.jpg
 
Nitajie bei za magari ya NISSAN MURANO na NISSAN DUALIS. Zote ni 4 cylinder.
 
Mwenye Hiace dungu NAMBA C au D,ya ukweli imesimama nina mteja ana 15 m,biashara ya uhakika anakuja kuiona,gari iwe nzuri.0717246284/0767246284
 
KWA MAELEZO ZAIDI NA UPATIKANAJI TUMIA NAMBA 0759865185 KWA MAWASILIANO +WHATSAPP.
 
Ni jambo zuri ila changamoto ninayoiona hapa unaweza kuuziwa gari la wizi alafu ikaleta shida nataka kujua muuzaji anatuhakikishia vipi kwamba haya magari ni salam kwa wanunuzi?
 
Ni jambo zuri ila changamoto ninayoiona hapa unaweza kuuziwa gari la wizi alafu ikaleta shida nataka kujua muuzaji anatuhakikishia vipi kwamba haya magari ni salam kwa wanunuzi?
MARA NYINGI KUUZIWA GARI LA UWIZI NI UTAKE MWENYEWE.....WENGI WANAOPATA BALAA HIZI NI WALE WANUNUZI WANAOPENDA VIRAHISI TU.....MTEREMKO,KITONGAAA
MARA NYINGI WAKATI WA MCHAKATO WA KUNUNUA GARI KAMA MTEJA AMERIDHIKA N'A KUVUTIWA N'A GARI....KUNA MAMBO YANAFATWA...MFANO KWENDA KUIKAGUA KADI YA TRA,N'A KUANDIKISHIANA MKATABA NA MUUZAJI,VITAMBULISHO KUTOA COPY N.K

OVA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom