Kwa wanyeji wa mwanza

viane

Member
Mar 26, 2012
79
18
Naomba msaada sehemu ya maduka wanayouza vitu original kama leci wig, gundi ya leci wing na saloon nzuri pia naomba kujuzwa maduka ya nguo za kike. Asanteni.
 
maduka ya mtaa wa uhuru hasa karibu na Delux club kuna hizo saluni na maduka ya bidhaa unazotaka, pia jirani na shule ya pamba sec kuna saloon pia. Wenyeji watakuja kukusaidia zaidi
 
vitu original kama "wig" ili wig lionekane kam nywele za kweli, sasa hapa original sijuhi ni nini?
 
Acha kututania bwana piga 0784 64 18 48 utaelekezwa.
Wewe mbona unapenda masikhala sana? Maduka yako mengi tu mbona?
 
maduka ya mtaa wa uhuru hasa karibu na Delux club kuna hizo saluni na maduka ya bidhaa unazotaka, pia jirani na shule ya pamba sec kuna saloon pia. Wenyeji watakuja kukusaidia zaidi

Bora ungekaa kimya. Umetoka lini Mwanza ndugu yangu, sababu hiyo unayoita Delux Club sasa ni Kanisa, Maeneo ya Shule ya Pamba sec kupata saloon ni kazi sana.
 
Yes kwa ushauri uliopewa nina hakika utapata nguo,wig, na kupendeza! Je hutaki kujua maeneo ya "Outing" nikusaidie?
 
Yes kwa ushauri uliopewa nina hakika utapata nguo,wig, na kupendeza! Je hutaki kujua maeneo ya "Outing" nikusaidie?

Kweli mkuu, ina maana atakaa ndani tu baada ya kupendeza?Nina imani atazingatia ushauri wako.
 
Gold crest casino,,,, lunch nilikua pizeria dinner nitapata nyumban hotel
 
Back
Top Bottom