Kwa wanawake walioolewa wanatoka nje ya ndo?

sababu kubwa ni kuendekeza uzinzi tu, hv unapoapa mbele za Mungu na wanadamu km mashahidi huwa una akili timamu ama unakuwa umerukwa akili? et "pokea pete hii iwe ishara ya uaminifu wangu kwako . . . kwa shida na raha" ee Mungu nisaidie! yan ndo mana watu wanapata laana sababu ya kumdanganya Mwenyezi Mungu. me nafikiri hv viapo vingefanyiwa amendment!
 
ila naamini ujumbe umefika. ukiona unatenda kosa kisa unajisifia ujue dhamira yako ilisha kufa zamani tu. ugojwa huo unaitwa upungufu wa kinga rohoni. Ushauri wangu ni kwamba mtu muovu akiacha uovu wake akitubu atasamehewa ila asipotubu atakufa mwili na roho

na akifa mwili na roho,how this should be your business?
 
na akifa mwili na roho,how this should be your business?
Not my business at all not at all. its your own bussines
tafakari hiyo mistari
Who can find a virtuous woman? for her price is far above rubies.... Her husband is known in the gates, and he sitteth among the elders of the land.... Strength and honour are her clothing, and she shall rejoice in time to come. She openeth her mouth with wisdom, and in her tongue is the law of kindness. She looketh well to the ways of her husband, and eateth not the bread of idleness. Her children arise up and call her blessed; her husband also, and he praiseth her.
 
Not my business at all not at all. its your own bussines
tafakari hiyo mistari
Who can find a virtuous woman? for her price is far above rubies.... Her husband is known in the gates, and he sitteth among the elders of the land.... Strength and honour are her clothing, and she shall rejoice in time to come. She openeth her mouth with wisdom, and in her tongue is the law of kindness. She looketh well to the ways of her husband, and eateth not the bread of idleness. Her children arise up and call her blessed; her husband also, and he praiseth her
.

mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmnh :yawn::yawn::yawn::yawn::alien::nerd:
 
na akifa mwili na roho,how this should be your business?

The golden rule of married life is, "Bear and forbear." Marriage, like government, is a series of compromises. One must give and take, refrain and restrain, endure and be patient. One may not be blind to another's failings, but they may be borne with good-natured forbearance. Of all qualities, good temper is the one that wears and works the best in married life. Conjoined with self-control, it gives patience *the patience to bear and forbear, to listen without retort, to refrain until the angry flash has passed. How true it is in marriage, that "the soft answer turneth away wrath!
 
nilivyoolewa nilijiapiza mimi sitoki nje ya ndoa mwili wangu utakuwa ni wa mumu wangu tuu but ilivyokata miaka 3 hali ya hewa ilibadilika ndani kwa sana tuu mume anarudi saa 6 ucku kisha anaoga anakaa sebuleni mpka alfajiri ndio anaingia chumbani ,ukimuomba anakujibu nimechoka sana leo mke wangu, kukupa mpka atake mwenyewe iliniuma sana, nikaona basi subiri nami nikapata liwazo pembeni nikirudi home full kicheko, time nae sina akitoka mlango wa mbele nami natokea nyuma na siulizi ulikuwa wapi au mbona umechelewa kuludi niko burudani kabisa, mpka yeye mwenyewe alijirekebisha nami nikatulia maisha yanaenda
 
Safi Sana Nakshi kwa kufunguka.
 
Back
Top Bottom