Kwa wanawake walio kwenye ndoa: Mulika mwizi!

Mi nikigundua tu mke wangu ananichunguza, naanza tabia feki, wakati mwingine najinyunyizia uturi wa kike ambao huwa nauacha kwenye gari, au najitumia text msg na namba yangu ambayo haijui, yaani namrusha kiroho mbaya hadi aache ushakunanku

Loh! utamuuwa mkeo jaman duuh! hahaha mlio ndoani kazi mnayo aisee!
watu wanajua wame zao malaika sijui kwamba hawatawatenda milele, expectation ndizo zinazowaponza!
they expect alot, ss inavyokuja kuwageuka duuh... wengine hadi wanapata mabonjwa jaman!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom