kwa wanawake tuu please

UNmpotezea tu, kM humuoni vile na huyo shosti mwizi piga chini! kaanza na vitu ipo siku atakuibia na byfriend!
 
1---umeamua kutupia kinguo chako cha kimtego....then unakutana na mwanaume ambae huwa anakumendea na wewe humtaki kabisa kabisa...daaah anakufaidi tu bure kukuangalia mpuuzi huyo----unafanyeje?
2...una shost kila siku anakupiga mizinga..ya pesa.. mara pochi ,mara viatu ...kila kitu akija kwako anatamani anajisevia...
3....huna muda na mapenzi.ingawaje moyo unatamani ..upo busy full day...unafanyeje?

eehheheee smile unahitaji nikupumzishe, una vijimambo dah....haya bhana...

Aaaaaah sorry kumbe ni kwa wanawake tuuu, napita....bye!!!
 
iyo no moja daaah kama hakuna vibration je? ahahaaa

haha smile dear,kama aipo unatingisha kama haipo itajitokeza tu,kiuno ndo mambo yote bibi,mradi rusha roho mtu umtoe udenda kwa macho
 
1)najitingisha mpaka adondoshe ulimi,af kmyaaa,simsemeshi
2)uzuri,napenda kumwambia mtu ukwel,espcl kama n wakaribu..unamwambia kwa namna atakayokuelewa,na kwa utakachoweza kumpa unampa,ikizidi,u talk 2her!but kuazima,sijuw kuchukua kwa kutamaman,i dont entertain..
3)dah..inatesa,ila hela muhimu kuitafuta,mengine yatajileta tuu!
Samahani nimekosea njia! Ila naomba niendelee kidogo .....!!.. uroda. haya majaribu sasa, na adhabu ya kubaka ilivyo kali siku hizi 30 yrs in prison! Tuhurumieni jamani wadada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom