kwa wanawake tuu please

na kama vibration mekaa mwake mbona spoke za miguu hazihusu Smile? ishu hapa ni nyumba yenye mirindimo dogo
kweli kuna bata mzinga style chini mikonooo juu bana ful mitikisiko ya bara na pwani wallah tena loh mungu kaumbaje?
 
hehehehehe nikiangalia huo mdomo na jicho tu hapo kwa avata vinaniambia huko nyumba full mtikisiko.
unajua wenye vibration unawajua tu hata kwa miandiko yao

Hahaha naomba tuishie kwenye miandiko tu ili nisiharibu imajinasheni yako Zanta hahahah.............

Smile
1. Huyo anayetamani ilhali hatamaniwi yaani kwa kuwa nshajilipua na sikujilipua kwa ajili yake, sitaharibu mlipuko wangu kwa uwepo wake aisee.... nitahakikisha najidengulisha, najitikisisha (lengo si ni kutega?) mpaka ajute kuniangalia. Labda anipige picha na kwenda kuitengenezea appetite aisee.
2. Huyo shost mbona simple tu? Unammwaga aisee
3. Once you are in love Smile, nafasi inapatikana tu!! Watu tunatoroka makazini na sababu lukuki ili tu tuwe na tuwapendao? Hakuna lisilowezekana chini ya mwamvuli wa penzi mdogo wangu. Ukiona hupati nafasi au huoni wapi pa kuchomekea penzi lako basi jua hujapenda bado!
 
asante my dear kwa ushauri ndo maana nakulike sana
 
Aksante Smile afu unakumbuka tuna miadi? Nahisi unahitaji kuonana aisee maana siku hizi nahisi unazivuta asubuhi hahahahahahahahahha hayo mahesabu hupati shoti kweli? Maana akili yako siku hizi waijua mwenyewe aisee.
 
ahahaaa mimi nimeokoka wewe ....full time nipo kwenye upako mimi na bangi mbalimbali...ujue nikimmiss Mbu huwa naugua kabisa...nitatutie tu mbu uone kama sijapona
 
Last edited by a moderator:
ahahaaa mimi nimeokoka wewe ....full time nipo kwenye upako mimi na bangi mbalimbali...ujue nikimmiss Mbu huwa naugua kabisa...nitatutie tu mbu uone kama sijapona

Hahahha Smile......Mbu wangu wammiss weye dah! ! Haya bwana kwa umri na uzee wangu huu sina nguvu ya kupambana na damu changa kama yako hahahha ngoja nikulilie tu na wimbo wa Dolly Parton wa "Dollene, Please Dont take my Soulmate from me"
hahahhaha
 
siwezi kumchukua hata nampenda tu naturally mzee yule upendo wa kimbingu usio na doa wala tamaa
 
Huo upendo hebu jaribu kuuweka in Monetary terms aisee...................... nawezagundua kitu hahahah

I hope hatoisoma hii!:baby:
 
kweli naweza pata financial support toka kwa yule mzee sio ..ahahaaa
 
Roulette (i hope i spelled right) needs to create 2 new gender specific forums. hizi thread za men only or women only zimezidi.
 
1)namkata bonge la jicho!!msonyoooo.....mpaka ye mwenyewe anaogopa!tena watu kama hao macho yao yanachefua jinsi anavokuangalia kwa tamaa-udenda ukimdondoka!go to hell..

just passing bye,naomba ukasalimie kale ka jamaa.
 
hiyo ya tatu mbona simple..men dont mind to be sex toys!!as long as wewe unajua unachotaka jitaftie wa kujipatia mambo..akijifanya kuleta commitments piga chini..on to the next one!!you are a woman babu..power to you!!

i wanna be your sex toy..
 
duh, hapa ndo nagundua kumbe nimeenda age lol

siwezi jikuta kwenye mazingira haya hata kidogo.
 
hapo namba mbili,
ndo maana sina mashosti mie, na hivi mdomo wangu hauna breki..... Mbona nitamtoa mbio....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom