Kwa wanawake tu!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Najua siku za karibuni mada ya wasaidizi wa nyumbani zimekua nyingi,lakini swali hili litaweza kujaribu kuona namna wanandoa wanavyotazamaHebu fikiri umeolewa,wewe ni muajiriwa pamoja na mumeo nae ni mwajiriwa halafu mumeo anakuuliza tutafute msaidizi hapa nyumbani,nawe ukakubali halafu akakuuliza tutafute wa jinsia gani?Utachagua wa jinsia ipi na kwanini?
 
tumezoea wasichana kwa kazi za ndani na wavulana kwa kazi za nje mara nyingi labda km mr ni kimeo ndio inakuwa tofauti..
 
Well kama una wasiwasi unatafuta wa kuja na kuondoka.
Binafsi naprefer kuishi bila..sio kwa wasiwasi ila kwasababu I can manage myself.
 
Kama mtu anaishi na mumewe kama partner hana haja ya Mfanyakazi pale tu mkioana... Maana mpo wachache (yaani wawili) ni rahisi saana kumangae... Chakula ni cha the whole week kinanunuliwa weekend, usafi kama kufua & kunyosha, mazingira ndani na nje ni siku moja ya weekend, Kupika ukijimanange kikubwa uwe na Microwave yasaidia saana.

Kimbembe kinakuja kama mnaishi na familia zaidi... yaani iwe mtoto/watoto wa ndugu... Mfanya kazi ni inevitable... Tena wa kike...
 
Mie niliogopa nikanyofoa comment yangu baada ya kuvaa mawani yangu na kuona ilipaswa kujibiwa na wanawake tu, mbona naona wanaume nao wamo humu?
 
Kama mtu anaishi na mumewe kama partner hana haja ya Mfanyakazi pale tu mkioana... Maana mpo wachache (yaani wawili) ni rahisi saana kumangae... Chakula ni cha the whole week kinanunuliwa weekend, usafi kama kufua & kunyosha, mazingira ndani na nje ni siku moja ya weekend, Kupika ukijimanange kikubwa uwe na Microwave yasaidia saana.

Kimbembe kinakuja kama mnaishi na familia zaidi... yaani iwe mtoto/watoto wa ndugu... Mfanya kazi ni inevitable... Tena wa kike...

Lakini AshaDii, mpaka wanandoa wafikie kuulizana Jinsia, kweli hakuna walakini hapo............... kwa nini iuliziwe jinsia in the first place?
 
Lakini AshaDii, mpaka wanandoa wafikie kuulizana Jinsia, kweli hakuna walakini hapo............... kwa nini iuliziwe jinsia in the first place?

Ukitaka kuenda beyond kweli... but ukiichukulia simply ni kawaida maana ni waze helpers wako wa kike na kiume pia...
 
Back
Top Bottom