kwa wanawake tu..... wanaume msifungue hii thread

Hapo wamempendelea mwanamke, hapo kwenye mawazo yake wange wangechora hela, nyumba na gari!
Aah, macho hayana pazia, samahani kwani nimepiga chabo tu!
 
Hapo wamempendelea mwanamke, hapo kwenye mawazo yake wange wangechora hela, nyumba na gari!
Aah, macho hayana pazia, samahani kwani nimepiga chabo tu!
ucjali .kupiga chabo ni sehemu ya uanaume hakijaharibika kitu.

ukisema wamempendelea mwanamke unakosea,maana unasound as if unaamin kuwa hakuna mwanamke mwenye mapenzi ya dhati.
wapo baadhi ya kina dada kweli wangetokea wanawaza pesa lkn sio wote tuko hivyo.
Vile vile picha hii ingeweza pia kutokea mwanaume anawaza pesa,si unajua kuna wakaka wanachuna kina mama.
vile vile picha hii inaweza kutokea kaka anawaza kama huyu anavyowaza na dada naye anawaza pesa.
ila wanawake baadhi yetu tukipenda tunapuuzia dalili zote zinazoonesha kabisa kuwa tunayempenda hatupendi,mtu asiyekupenda kwa dhati ukitalia na kutokubali kutekwa na upofu wa mapenzi juu yake utaviona tu vidalili vya kuwa hapa sipendwi
 
Sorry Ms MC,
Nimekuja kuwakumbusha mibaba waliofungua kuwa kuwa "wame-gate crash" kwenye chicken party, Oh sorry, ni "kitchen party".
 
In-Conclusion.jpg


kina dada wenzangu mnadhani hii inatokea kwa kiwango gani?
let say ktk pair ishirini za wapendanao mnadhani ni ngapi ya ishirini ya wanaume wako kama huyu bwana.
Utajuaje kama mpenzi wako anakuwazia kama huyu kaka anavyomuwazia huyu dada?
Thanks God ingekua hii ni picha ya mim na mpenzi wangu wote tungetokea tunawaza kama huyu dada:panda::panda::panda::panda:
Muwe na week end njema lkn mumuombe Mungu aifanye mioyo yenu na ya muwapendao iwe na nia moja.


Samahani Cheusi mangala...mie nilimpenda sana mke wangu baada ya Kuigeuza hiyo Kopa na kupata nilichokitaka kwanza, nikaridhika na nilichokihitaji, nikaanza kumpenda, then nikampenda zaidi, sasa nampenda more than anything, nisingewaza kama huyo jamaa nisingekuwa nae maana ningefanya kula na kukimbia, na usione hivyo jamaa anawaza hicho kitu for more than a month, hizo walking around and beach walk ni hamna kitu, pata kwanza then Love more...hata wako vile vile
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom