kwa wanawake tu: Plz naomba tips za Urembo.

Mimi sio mwanamke nimefungua kuona unauliza nini. Najuta kuingia cha kike.........
 
Hivi na hicho kilemba changu unadhani mie ni mrembo?

Anyway, naskia Mac ni nzuri, ila sasa ujue kuchagua itayoendana na rangi ya ngozi yako.
Situmii sana make up coz siendani nazo, nikitumia nakuwa fake sana.

But naona marafiki zangu wanatumia Mac.
 
Hapo umenoa my dear. Mie ni mrembo asilia, I don't wear make up unless I'm getting married (nisha-wear makeup mara sita tu in my life time,lol).

Ngoja aje wifi yangu AshaDii.
 
Last edited by a moderator:
Mbona huwa unaniiga?
Sababu sivai make up basi na wewe huvai?

Hapo umenoa my dear. Mie ni mrembo asilia, I don't wear make up unless I'm getting married (nisha-wear makeup mara sita tu in my life time,lol).

Ngoja aje wifi yangu AshaDii.
 
mh,me suala la urembo lilinipita kushoto,nshapaka make up once nlipokuwa nasimamia haruc flan. huwa napaka lotion tu mwilin,usoni sipak chochote make uso wangu una mafuta ajabu! ngoja warembo waje. . .
 
Lady G.
Kwanza ngozi yako ni Kavu au Ina mafuta?
Kama ni Face&Neck Tumia MacPowder au Nelly'K Foundation,
Coz hazichagui type ya ngozi.

Vipodozi hv ni Made ya Paris na NY.
Vipo Pale AshNAm'COSMETICS M.City@Sh75,000/=
Ila be Aware coz vimejaa Mtaani kwa Sh 3500/=!!
Ila kama upo Mkoani cjui tafanyaje.
 
Hivi na hicho kilemba changu unadhani mie ni mrembo?

Anyway, naskia Mac ni nzuri, ila sasa ujue kuchagua itayoendana na rangi ya ngozi yako.
Situmii sana make up coz siendani nazo, nikitumia nakuwa fake sana.

But naona marafiki zangu wanatumia Mac.

Yap,mac is the bewst. but awe makin fake zipo kibao asije kumbana nazo then asipate matokeo anayotaka.
 
mh,me suala la urembo lilinipita kushoto,nshapaka make up once nlipokuwa nasimamia haruc flan. huwa napaka lotion tu mwilin,usoni sipak chochote make uso wangu una mafuta ajabu! ngoja warembo waje. . .

Nimekuja hapa kwa ajili yako charminglady.... kukushauri achana na ma makeups fanya mazoezi. Sawa eh?

slide_10946_144025_large.jpg

slide_10946_144028_large.jpg
 
Last edited by a moderator:
Watu bwana kama hamna majibu ya alichouliza mwenzenu si mkae kimya tu. Lady G me mwaya natumia foundation ya dror na poda inaitwa guerlain terracotta, ngozi yangu ni nyeusi na ya mafuta.....zipo namba tofauti kulingana na ngozi yake mamii. bei ya dror ni 125,000/= na hyo terracotta ni kaka 90,000/=, before nilikuwa ssipaki chochote coz vipodozi vyote vilikuwa havikai kwa ngozi yangu, ila hizi ni nzuri sana na zinanifanya niwe na muonekano mzuuuuri. Sijui kama kwa tanzania utapata original, mie huwa ninaagiza nje (UK).
 
Last edited by a moderator:
Hapo umenoa my dear. Mie ni mrembo asilia, I don't wear make up unless I'm getting married (nisha-wear makeup mara sita tu in my life time,lol).

Ngoja aje wifi yangu AshaDii.

bora ww mara sita, mie mara moja siku ya ndoa yangu, napenda kubaki nilivyo.
 
Last edited by a moderator:
lishe bora (sio unapika mboga na nusu karoti na hoho afu unasema umepata virutubisho)
matunda kibao
maji megi
acha pombe (well...................)
fanya zoez kidogo
usipigwe sana na jua
vipodoz vitakuja malizia tuuuu maana ngozi tayari itakuwa na nuru asilia
 
Usisahau na kunywa maji ya kutosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom