Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,584
Thread tamu hii
karibu tenah panaweza pakakufaa!!samahanini nimepotea njia...!!!
karibu tenah panaweza pakakufaa!!
unadhani Mwali hafahamu kama urembo ni kwa wote!! we njoo tu upate maujanja!Mhmmm!!! princess enny hivi unanipenda kweli? Unataka Mwali anigeuze kuwa mboga ya mchana?
unadhani Mwali hafahamu kama urembo ni kwa wote!! we njoo tu upate maujanja!
pouwa!!!haya mwaya ngoja mie nichungulie chungulie tu ila mwali akija nishtue nisepe haraka asije akanikuta
It's part of the daily routine to suppress odours dandruff and black spotsMwali how do you have time to do all this, do women have 26hrs/day unlike us men? I now see how some girls are called 'high maintenance'