Kwa wanawake na wasichana pia

nw eca

Member
Jan 10, 2014
20
4
Chukulia ya kwamba wewe ni mama wa watoto 5, mtoto wako wa 1 yupo chuo na wa mwisho hata kuongea bado, na unampenda mumeo(mmefunga ndoa). Cku moja ukaja kugundua ya kwamba mumeo miaka 16 iliyopita alitoka nje na mtoto aliepatikana yupo mpaka sasa hv pamoja na *****.
Je, utakua hatua gan dhid ya mumeo ukiangalia miaka ya nyuma uliangaika sana juu ya mumeo. Hebu toa maon yako ungekuwa wewe ndio mama ungefanya nn, kumuacha mumeo au? Mwaga manyanga yako hapa
 
Kibella kama kitanda hakizai haramu nani ni haramu, na nn kifanyike
 
Kwa upande wangu hilo wala haliwezi kuniumiza kichwa, mama wa watoto 5 na mwanangu yuko chuo bado nihangaike na kitu kidogo kama hicho, ingekuwa kwamba ndo kwanza tunataka kuoana hapo ningesugua kichwa. kubali kilichotokea acha maisha yaendelee.
 
Wala hata usiumize kichwa,samehe na maisha yaende,kwani hubby bado ana date na huyo mwanamke? kama sivyo endelea na ndoa yako,pia usiwe katili kwa huyo mtoto wacha ahudumiwe kama hao wa kwako,
Chukulia ya kwamba wewe ni mama wa watoto 5, mtoto wako wa 1 yupo chuo na wa mwisho hata kuongea bado, na unampenda mumeo(mmefunga ndoa). Cku moja ukaja kugundua ya kwamba mumeo miaka 16 iliyopita alitoka nje na mtoto aliepatikana yupo mpaka sasa hv pamoja na *****.
Je, utakua hatua gan dhid ya mumeo ukiangalia miaka ya nyuma uliangaika sana juu ya mumeo. Hebu toa maon yako ungekuwa wewe ndio mama ungefanya nn, kumuacha mumeo au? Mwaga manyanga yako hapa
 
Kama mumeo anakujali na anawatunza vizuri watoto wako, yan everything is ok, kwa nin uhangaike na huyo mtoto. Kwa nin issue ya miaka 16 iliyopita ije ikuletee mifarakano kwenye ndoa yako.

Kama issue ya mtoto inakusumbua sana, jaribu kum-consult mumeo ujue inakuwaje kuhusu huyo mtoto wa nje. All in all we endelea tu kutunza watoto wako bana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Poleeh,cha msingi mume atoe matunzo yako na watoto,we si ndo legal wife??...achana na hao wa nje
 
Kumuacha ha itasaidia,inabidi kukubali matokeo ili maisha yaendelee.ila lazima umchimbe mkwara na kwa ville atakuwa ana hatia itasaidia kumbana.pole kwa changamoto.jipe moyo
 
ningefanya kama sijaskia vile... naendelea zangu na maisha...
pressure za nini mama, watoto wa5 alaf uanze kujipa stress!!
maisha yenyew yakwap siku hiz!!
 
itabid tu uendelee nae ukizingatia mna watoto . hata ukikimbia unakuwa umemkaribisha uyo wa nje karibu. ni kumkarisha chin na una koromea bac.
 
Ni mbaya sana upo na mumeo au mpenzi wako halaf anazaa njee,,afadhali awe na mtoto kabla ya mahusiano yenu,anewei kosa la kwanza waweza msameheee
 
Siku naye akijagundua moja
kati ya hao watoto wa 5 sio wake itakuwaje? Utataka akufukuze au akuache? Chukua hatua mama! Samehe mara 7 Sabin!
 
Wala hata usiumize kichwa,samehe na maisha yaende,kwani hubby bado ana date na huyo mwanamke? kama sivyo endelea na ndoa yako,pia usiwe katili kwa huyo mtoto wacha ahudumiwe kama hao wa kwako,
naona mleta mada ana chembe za ukatili. maana kama vile kachukia huyo mto kuwa hai na anaishi na mama yake.
 
Unajua binadamu tunapenda kila kitu kiende tunavyotaka sisi jambo ambalo ni gumu kutokea..mimi na wewe hatujui sababu ya huyo baba kutoka nje kwa mechi za mchangani,pengine hakutegemea huyo mtoto angetokea..
Ameshazaliwa ana miaka 16 hakuna haja ya kufanya ukatili hata kidogo,
naona mleta mada ana chembe za ukatili. maana kama vile kachukia huyo mto kuwa hai na anaishi na mama yake.
 
Work online and earn up to $1100 guaranteed per week through telexfree.
Be free to call and ask how it operates!
0714443969

There you go again.. Perfect App imewashinda, sasa mmehamia Telexfree....
Anzisha thread yake basi, not on someone' thread..
 
Back
Top Bottom