Kwa wanawake: Kipi bora dhidi ya chenzak kati ya UKE na PESA?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Naanza kwa angalizo kwamba habari hii haikulengwa kwa wanawake wote katika ujumla wao, bali kwa wale maalumu waliojikita ktk tasnia ya kuuza miili yao, iwe kwa kujikimu au kwa tamaa tu ya "pepo la ngono".
Aidha nimefanya yakinifu upembuzi na nikashindwa kuelewa vema kua ni kipi bora kwa walengwa hawa, kwani wanauza rasilimali uke kwa malengo ya kupata pesa!.
Ambapo wanunuzi wanatumia rasilimali pesa kununua uke!.
Vinginevyo kama uke ni valiable ama permanent fixed asset, then perishable, portable e.c.t ni kwa vipi basi tusingekua tunashuhudia baadhi ya wakati walengwa wanakua donors kwa wanaume ambao ni refugees ama wanaume waliokua ktk mazingira magumu kama vile wafungwa wakawa wanaenda kuwapa huduma ya ngono bure (hospitality). Kwa kua hilo ni gumu kwao kulifanya ndiyo kusema bidhaa hii itaendelea kua biashara "nipe nikupe" je? Ni kwa vipi basi wasiwe na mpango maalumu wa kuitunza bidhaa "valiable" isitumike kibiashara kwa ajili ya kuepuka depreceation?
 
Kama pesa ingekua sio muhimu wengi wangeshaacha.Isn't that obvious?
 
Umelenga nini hapa mkuu kama sio uzalilishaji tu?? Kunya anye kuku tu, akinya bata kaharisha sio? Kuna wanaume kazi yao kuuza tigo kwa mashefa, wanalala wanaamka na pampas hadi wengine walishakuwa functionless, ebu jaribu kuwauliza hilo swali lako!!!
 
Hahahaahaha . . . kakondoo bana.
 
HATA hao uwasemao maudhui ya dhamira yangu yanaweza kabisa kuwagusa kwa sababu zilezile za wanaouza "a nearest Tigo's neighbour"
 
HATA hao uwasemao maudhui ya dhamira yangu yanaweza kabisa kuwagusa kwa sababu zilezile za wanaouza "a nearest Tigo's neighbour"

Narudia tena, huo ni udhalilishaji kabisa na sijui akili yako ilikuwa inawaza nini wakati unacompose hayo maneno uliyoandika! Wanauza uke, eti waende wakagawe bure........kweli?? Sio ustaarab kwa mtu mwenye akili timamu kama wewe!
 
Hahahaahaha . . . kakondoo bana.

Honestly, ebu angalia hiyo lugha iliyotumika hapo kama sio dharau ni nini?? Mara permanent fixed, perishable, sijui portable, mara kwa nini wasitoe bure kama alivosema yeye hospitality........what is this mama mchungaji kama sio kudhalilisha watu?! Anaposema wanunuzi wa rasilimali uke, inamaana wanakibandua na kuondoka nacho?? Mbona kiungo chao wanachokipeleka kwa wauzaji kakistahi, au ndo kusema wao wana akili sana wanapokuwa wanapeleka hizo ndude zao?? Makusudi gani haya...........
 
Narudia tena, huo ni udhalilishaji kabisa na sijui akili yako ilikuwa inawaza nini wakati unacompose hayo maneno uliyoandika! Wanauza uke, eti waende wakagawe bure........kweli?? Sio ustaarab kwa mtu mwenye akili timamu kama wewe!
Kapipi na Kwa mwenye akili timamu kama wewe usingejibu unavyovijibu! Si vema sana kukurupuka kujibu ambacho hujakielewa! Thread imeanza na "hint" hadidu rejea kwamba inawalenga watu wa kada ipi katika jamii, hivyo wale wanaouza uke wao wanajidhalilisha wenyewe au mimi/jamii ndiyo inawa'critises? Au nimekugusa katika tasnia yako? If it's too sorry!
 
thamani ya kitu ni kwa mtu na kama mtu asipoona tahamani ya hicho kitu huwezi kumwelewesha na akaelewa ... na kama mtu kaona ndio njia mbadala ya kukidhi tamaa au maazimio yake haiajalishi inatumikaje maana anaweza kuwa anaitumia kama kaishika mkononi
 
Kapipi na Kwa mwenye akili timamu kama wewe usingejibu unavyovijibu! Si vema sana kukurupuka kujibu ambacho hujakielewa! Thread imeanza na "hint" hadidu rejea kwamba inawalenga watu wa kada ipi katika jamii, hivyo wale wanaouza uke wao wanajidhalilisha wenyewe au mimi/jamii ndiyo inawa'critises? Au nimekugusa katika tasnia yako? If it's too sorry!

Sina shida sana na ujumbe wako, tatizo ni lugha/maneno ulotumia.......... HAYAFAI. Sorry na wewe kama ni vizuri, even if kipipi is doing that business, still ur language haileti picha nzuri hata kwa wale wasiojiuza!!! Naomba tu nikutaarifu kuwa sijakurupuka na hiyo defensive mechanism uloitumia nimeipata vizuri sana, haijalishi umelenga tasnia yangu but one thing I'll rely on is CHECK NA LUGHA yako hata kama umelenga kada ipi!!!
 
Kapipi ndugu yangu unachonihuzunisha ni kwamba utetezi wako una 100% elements kuonesha kuwatetea wafanyao biashara hiyo wako sahihi! "business as usual" Therefor wasiguswe,wasionywe! Hapo ndiyo sikuelewi!
 
Kapipi ndugu yangu unachonihuzunisha ni kwamba utetezi wako una 100% elements kuonesha kuwatetea wafanyao biashara hiyo wako sahihi! Therefor wasiguswe,wasionywe! Hapo ndiyo sikuelewi!

dah......mbona waniharibia jina weye?? Mwanzoni nilidhani umeteleza tu, kumbe ndo unavoniita? Anyways..........nisome vizuri utanielewa tu! Wewe lugha ulotumia hapo inakubiriki, au unabisha kwa sababu umetumia muda wako kuandika??
 
Back
Top Bottom