kwa wanawake ambao hawajaolewa na 'waliotendwa' tu!!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Chukulia kuwa wewe ni miongoni mwa wanawake 'waliotendwa' tena kwa sana tu na zaidi ya mwanaume mmoja. Sasa una hamu sana ya kumpata mwanaume mwenye sifa na matendo uyapendayo na yakupayo raha kamili ya mapenzi. Hauko tayari kumkosa coz ikitokea hivyo hutapata mwingine na hutoolewa milele.

Kwamba imewekwa sheria ili uweze kumpata huyo 'man of your dream' lazima kwanza wale wote waliokutenda waangamizwe na kupotea duniani-yaani wafe-kwa kuoba Mungu atekeleze hilo naye atalifanya na kukupatia mwanaume wa ndoto yako. Kwa kuwa amependa kuwa na huyo mtu, nawe uko tayari kutimiza hilo sharti ili umpate.

Hebu niambie kutoka moyoni mwako. Unadhani utakapoamua kuomba/kutimiza hilo sharti, hivi ni wanaume wangapi wataangamia/watpoteza maisha yao pindi utakapomaliza sala yako? Kuwa wazi tu kutaja idadi halisi ya watakaopoteza maisha. Wajumuishe hata wale wa primary na sekondari.

Nawasubiria hapa hapa!
 
Mungu ninayemjua mm hapendi hafuraii kufa kwake mwenye dhambi ila anafurahi wakitubu na kuacha njia zao mbaya...isitoshe hao waliokutendaga wewe sahizi wamekuwa wenzi bora kwa watu wao ..ulikuwa utoto tu wamekuwa wameacha...
 
Wee ndyoko leo umekuwaje, Mungu hapendi visasi na ameagiza tusilipize, ok hata kama alinitenda mimi maybe kwa mtu mwingine amekuwa ni bora so sina sababu ya kumuombea afe, amenitenda na bado maisha yameendelea kwa upande wangu na kwake pia.
 
Humu mnapenda kuwasakama kina mama? Nikuulize wewe uliepost hii thread. Umeshatendwa na wangapi na umeshawatenda wangapi? Hebu wataje hapa kwa idadi yao, anzia primary.
Naswitch User
 
Humu mnapenda kuwasakama kina mama? Nikuulize wewe uliepost hii thread. Umeshatendwa na wangapi na umeshawatenda wangapi? Hebu wataje hapa kwa idadi yao, anzia primary.
Naswitch User
mawe wasibo'taige?
 
aisee, si itakuwa used sana hii maneno, duuuuuuuu!

hahahahaaa! Nilijua tu ndyoko hauko serious, na hapa unataka kuwachora tu watu!! Lol.......unamwambia mwenzako used sana, je yako ingekuwa ni sabuni ya kipande, hivi ingeshabaki size gani vile (kama sio kuisha kabisa)?
 
Yaani kuombea watu wafe kwa sababu kidume kingine kitakuja, unadhani ni simple eeh? Eti wafe......wewe??? Labda wajibu kwa kuassume aiseee.

usishangae mkuu, wapo ambao wanaotamani jamaa waliowatenda nao wageuke jinsia yao ili waone ubaya wa hiyo kitu kutendwa! tena unaambiwa live........acha tu ndo maana nadhani wapo ambao wanaombea uvute kamba sema tu ni soo kutamka kavukavu...
 
hahahaha...

hawezi kufa bwana. si ukishaomba ndo wampata lakini baadya ya 'watesi' wako kuwa wamevuta kamba! taja basi idadi ambayo unadhani watavuta kamba the moment you get your 'dream man'.
 
Kwa kutimiza tu hilo sharti ni dhahiri kua hayo Mapenzi ulopata, utayopata sio genuine.... Love forever is about giving and receiving... Kujali na kumpenda mwanadamu mwenzio Like never before... Ikumbukwe kua sio Kila aliyekutenda alidhamiria... Haya mambo hayana kabisa formulae, huwezi jua alokutenda nini kilimsukuma, nini kilisababisha na wewe ulotendwa ni nini hasa madhaifu yako mpaka utendwe...

Na mpaka you admit fulani alinitenda, ina maana in other words "I Loved that Mana Like no one else but he was not Grateful" Hivo basi kama waweza taka yule ambae in one way or another kakukomaza kimapenzi na kujua nani bora zaidi (from exprience) aangamie... Kitu gani kitafanya huyo wa sasa in the future usitake aaangamie? Mapenzi hayaeendeshwi kwa visasi... The best way ni kujifunza toka huko kutendwa na kusema... Yes that Man made me Grow up in a woman ambae anajitambua - atleast i give him credit for that.

BTW Ndyoko sio kwamba sijaolewa... NO, I have a rite kuchangia for nishawahi tendwa... But still I appreciate that man for as much as aliniumiza... I am a better person in some way because of him. I don't love him wala sitaki aweze niguse... BUT i don't want him dead... He at the end of the day is just human.
 
Duuuuuuuuuuu! Bonge la darasa, mweeeee! Completely buffered and flat on my belly. Usiku mwema shangazi!
 
Back
Top Bottom