Kwa wanaume

Wanaeleweka! lakini inahitaji umakini mwingi kuwaelewa,unavyotaka kumuelewa mwanamke msikilize maneno yake fatilia na matendo yake.
 
Hamjui tu. Kinachotufanya kuwa pamoja ndiyo tunapashwa kukielewa. Kila mtu akamilishe responsibilities zake. Hayo mengine hayana maana zaidi ya kutafutana undani.
 
Just love us a lot but dont try to undertstand us..........................hahahaaa
 
Ishi nao kwa akili hata Bible inasema!
Hawa viumbe check walivyomfanya
1. Adam
2. Samson
3. Daudi
4. Mfalme Suleiman
5....................Endeleza

Be very carefully with these creatures...
 
Too difficult to understand them due to their weaknes pyschologically and mentally. Mwalim wao ni mmoja na tena yupo kwenye Mgomo.
 
Too difficult to understand them due to their weaknes pyschologically and mentally. Mwalim wao ni mmoja na tena yupo kwenye Mgomo.

Mmmh wewe unalako kama ni hivyo mbona vichaa wengi wanaume........acha tuhuma za bure mababu na baba zenu walituelewa
 
Back
Top Bottom