Kwa WANAUME

BASHADA

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
513
148
Kwa wanaume, Hivi inakuwaje, inapotokea msichana anapokutokea akakuomba namba kwa sababu za kimsingi, (MASUALA YA KAZI, BIASHARA, ETC.) baadaye anaanza kukutext msg za ajabu ajabu. Baada ya muda mfupi unakuta wako kibao wanaokutext msg ambazo kwa kweli huelewi, mwishowe anakutamkia anakupenda, and lastly unakuta wako kama 20 au 30 kila moja anakutamkia kuwa anakupenda. Ukweli unataka umpate mmoja sasa hapo utafanyaje? af Wote wazuri. Vigezo gani vitumike kuchagua?
 
Sijakuelewa bado,..namba umpe mtu mmoja halafu text zaid ya watu 20,.......how come
 
Kwamba huyo mwanaume ana-forward namba yako kwa men kibao? Lakini si umesema lengo lako ni biashara, hakuna ubaya kufanya biashara na wanaume kibao. Ila mistari ya mwisho umechanganya mada!!
 
Anakuwa ame-foward namba yako kwa marafiki zake wenye biashara au kazi unayohitaji.
 
kha................ushaliwa weye! Hakuna wa kukpenda hapo.............wote wanakutamani ama wanatamani ulichonacho kwa kukutamkia hivyo wanajua utakuwa karibu nao.................lakini inashangaaza inakuwaje uendeleze maongezi na mtu usiye na interest naye?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom