Kwa wanaume

kaka,hofu yangu ni kuwa siku akikumwaga tu mzigo unahamia kwetu!otherwise akikufulia vinyasa vyako na ww umfulie vyake ili mikono yako isisahau!wifi anakudekeza sana banaa,lol!
King'asti acha kakako nibembelezwe bana si ndio mapenzi yenyewe hahaha!
 
kaka,hofu yangu ni kuwa siku akikumwaga tu mzigo unahamia kwetu!otherwise akikufulia vinyasa vyako na ww umfulie vyake ili mikono yako isisahau!wifi anakudekeza sana banaa,lol!
Sawa mdogo wangu thong na sidiria zake kuanzia leo nafua lol!
 
K

4-chupi inabadilishwa mara mbili kwa siku(ila kwa nyie acha iwe mara moja)

Mshahara wenyewe wa Kikwete halaf tubadili makufuli mara mbili?, hapa kijijini kwetu chini ni AC tu hakuna kuvaa kufuli. Maisha magumu jamani acheni mzaha
 
Kwa baadhi yetu nyie mlio wachafu!

Ukiwa single utajijua mwenyewe ila ukiwa na mwenzako jaribu kumfikiria kwa afya yake na yako pia maana making love is a dirty game kwahiyo ukichanganya na uchafu wako basi inakuwa kinyaa baada ya ku enjoy unafikiria huyu mtu atashuka saa ngapi.

Hapo kwenye red, can you clarify please?
 
Mshahara wenyewe wa Kikwete halaf tubadili makufuli mara mbili?, hapa kijijini kwetu chini ni AC tu hakuna kuvaa kufuli. Maisha magumu jamani acheni mzaha
Kamanda naona bado tupo na dunia haijaisha si kuna umuhimu wa kuwaburuza hawa jamaa mahakamani kwa kutuletea usumbufu na kutupunguzia mapato ya gesti yangu siku 3 mfululizo ?
 
wifi usije ukanilemazia kakangu!kwetu tumefundishwa kazi na kujitegemea.manake sasa yy atafanya kazi gani,mikono si itakatika!lol!

Hahhaha...wifi acha nimdekeze nisije nikasaidiwa huko nje maana siku hizi huko kwenye nyumba ndogo mpaka mswaki wanapigishwa!!
 
Kamanda naona bado tupo na dunia haijaisha si kuna umuhimu wa kuwaburuza hawa jamaa mahakamani kwa kutuletea usumbufu na kutupunguzia mapato ya gesti yangu siku 3 mfululizo ?
Kamanda hapa kijijini hata delivery ya mirungi pia iliathirika sana, shenz sana hawa. halaf Lizzy kumbe anaogopa kifo ajabu unaambiwa jana PM hajibu.
 
oh bado sina mpenzi nikimpata ntaanza kuwa naoga, mi huwa nalala na nguo nilizoshinda nazo job navua kesho yake navaa nyingne off to job tena.

mmh sasa hpo dalili ya kuoza
 
bahati yako dunia haijaisha leo!wagomvi mbinguni hawaingii,kule ni nyumba za vioo!shukuru mungu!

hehehe kama ulokuwepo, jana nilikuwa mtiifu ajabu lakini leo baada ya kiama kuahirishwa acha tutumie bonus kabla hawajatangaza tarehe mpya ya kiama
 
Hahhaha...wifi acha nimdekeze nisije nikasaidiwa huko nje maana siku hizi huko kwenye nyumba ndogo mpaka mswaki wanapigishwa!!

Asha D
Ushahid gani mwingine unaoutaka zaidi??
Au mpaka nikuletee gunia la upepo??
Sipendwi miyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
:A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry:
 
Back
Top Bottom