kwa wanaume wenye nyumba ndogo tu

giningi

Member
Jun 12, 2011
52
27
enyi wanaume wenye nyumba ndogo,nawashauri kuwa,mnapoamua kuzaa na hao nyumba ndogo zenu,jitahidini kwenda kupima DNA baada ya mtoto kuzaliwa la sivyo mnatunza watoto wa wenzenu! kama hamjui hizo nyumba ndogo zenu na zenyewe zinawaita nyumba ndogo kwa sababu zina nyumba kubwa,wengi wenu mnalizwa! nawasilisha:yell:
 
Inaelekea wewe pia ulishakuwa mhanga wa hili jambo. Ni vizuri kutoa 'darsa' kwa wenzako kama ulivyofanya. Wamekusikia.
 
ha..haha.....haaa.... binafsi sioni kosa kwa mtoto kuwa na baba mlezi na kiukweli sikubaliani na dna kwa sababu kwa kiasi fulani inaleta ubaguzi kwa mtoto kwa makosa ya uzinzi wa azazi dawa ni kuacha sio kupima watoto ikitokea umepewa mtoto wa hiari pokea si shida na upumbafu wako ndo umekupeleka! achilia mbali kitanda hakizai haramu
 
Nani kakwambia kitanda hakizai haramu? Mbona watoto haramu wanapatikana ktk vitanda hivyo hivyo kila leo!
 
ndo maana nikasema kwa wale wenye nyumba ndogo kama wewe huna kaa kimya:yo:
 
enyi wanaume wenye nyumba ndogo,nawashauri kuwa,mnapoamua kuzaa na hao nyumba ndogo zenu,jitahidini kwenda kupima DNA baada ya mtoto kuzaliwa la sivyo mnatunza watoto wa wenzenu! kama hamjui hizo nyumba ndogo zenu na zenyewe zinawaita nyumba ndogo kwa sababu zina nyumba kubwa,wengi wenu mnalizwa! nawasilisha:yell:

Kama ni hivyo pia upime na wa kwako maana mkeo yawezekana alifanywa nyumba ndogo PIA.
 
wee nae utakuwa nanga mpaka uamue kuzaa na nyumba ndogo...huyo ni wa starehe tuu!!!!
tehee...tehee....... kuzidiwa mtu wangu unafikiri ameyataka ndo mana analalamika! lea mtoto huyo ni taifa la leo al!
 
enyi wanaume wenye nyumba ndogo,nawashauri kuwa,mnapoamua kuzaa na hao nyumba ndogo zenu,jitahidini kwenda kupima DNA baada ya mtoto kuzaliwa la sivyo mnatunza watoto wa wenzenu! kama hamjui hizo nyumba ndogo zenu na zenyewe zinawaita nyumba ndogo kwa sababu zina nyumba kubwa,wengi wenu mnalizwa! nawasilisha:yell:

Baelezee
 
Ahaa yote sawa kulea hata wa mwenzako ninavyotaka c napewa mbona hata kwako waweza lea watoto wa kaka yako dada!
 
Wenye nyumba ndogo wote acheni kuvunja amri ya 6 tena badiliken na kuomba msamaha!
 
Sio issue saaan si watanganyka ni wajamaa bana so kusaidiana ni jadi yetu bana we hapo nyumbani una uhakika na vi offsprings vyako?
 
Back
Top Bottom