Kwa wanaume 'wanaowahi', dawa hii hapa...

Heshima yako mkuu,hapo kwenye red hapo naona hakuna busara kabisa.....Nakuheshimu kiongozi.
If u r she, may be huyajui. Lakini yapo. Utakuta demu ulikuwa ukimdrive craze lakini ghafla mambo yanabadilika na akikohoa kidogo, unaitika rabeka! Ujue kwishne.
 
wanaume wa j.f naona mnajibu hoja ki staarabu kabisa.mmmh,kumbe mnajali kuwaridhisha wapenzi au wake zenu
 
Na nyie mnamind sana kukojoa. kha kila nakoenda mikojo mikojo loooool! Basi muwe mnawazia mambo mengine ili kujichelewesha ili wenzenu wzfike huko kunako kibo kama sio mawenzi
 
Gaga taratibu, taratibu. Kuchelewesha kukojoa/kumwaga sana sana ni kwa faida ya wanawake kwa sababu huwaga wanachukua muda mrefu kufika kileleni. Kwa hiyo tunamaind swala hilo kwa sababu ya kutokutaka kuwa selfish/ubinafis kwenye mchuano. Ndio maana unaona swala hili tumelikomaliaa!
 
Wandugu,
Kama kuna jambo linakera katika mahusiano ya kingono ni kwa mwanaume kufika mwisho wa safari mapema sana. Ni jambo linalomkera mwanamke lakini nadhani wanaume ndiyo wanakerwa zaidi. Wengine wamefikia hatua mbaya kiasi kwamba jamaa anashtukia amemaliza safari kabla ya kuanza. Sasa katika pitapita yangu nimeweza kupata ujuzi unaoweza kusaidia kupunguza hali hii. Bahati nzuri ujuzi wenyewe nime-apply na umeleta matunda mpaka partner wangu alishangaa sana siku ya kwanza nilipotumia. Wenye elimu zaidi naomba nao waongeze technique hapa jamvini ili tusaidiane katika kujenga na kuimarisha confidence ya kuwatosheleza 'watoto'.

Najua zipo dawa (kemikali) zinazopakwa kwenye 'kichwa' cha yule jamaa lakini ni vizuri kutumia mbinu za asilia zisizotumia kemikali ili kuepuka madhara ya muda mrefu. Mbinu zifuatazo zinaweza kusaidia.

(1) Punguza hisia kali na elekeza akili yako katika kumuandaa mwenzio.

(2) Ondoa mawazo/hisia inayokuelekeza kutaka kumwagia kitu kwenye lile eneo nyeti. Hisia hii, unaweza ukaizuia na ukairejesha wakati muafaka.

(3) Epuka kupumua au kuhema kama dume la bata yaani unapoendelea na mchezo usipumue systematically au consistently. Mara kwa mara jitahidi kukata pumzi kuzuia hewa isiingie. Hii itakupatia stamina ya kusonga mbele zaidi na zaidi.

(4) Anza na 'position' ambayo haikuhamasishi sana halafu malizia na ile ambayo sekunde moja tu safari inaisha.

(5) Kwa wanaotumia 'kifo cha mende' usijilaze juu ya mwenzio kama gunia yaani weight yako yote ina-fall kwa mwenzio. Ukibweteka hivyo huchukui raundi ulimi nje sekunde chache tu. Unatakiwa kum-hold mwenzio kama wanavyofanya wasanii wa sarakasi.

Kadri unavyotumia mbinu hizi, ndivyo unavyoongeza muda wa kufika mwisho wa safari.

.....Yaani usugue weee, hadi mwenzio achubuke halafu iweje?
 
tafuta vitunguu swaum ile vikubwa vyeupe, asali ya nyuki wadogo, habati soda(hupatikana ktk maduka ya dawa za asili) menya vitunguu viwili , chukua asali nusu kikombe cha chai (mug) na unga wa habati soda , changaya pamoja koroga hadi uone umekolea, chemsha ktk moto mchanganyiko huo unaweza kutoa povu kidogo, povu likikatika tu ondoa na weka mchanganyiko wako upoe. kisha tumia kijiko cha chakula mara tatu hadi nne kwa siku. HESHIMA ITARUDI.

sinafungu - habati soda (black seeds/cummins) nikweli kabisa,
mimi natumia hiyo nachanganya na ufuta nafanya kashata, kila
mara nakula, nimeona results zake.

shaft iko imara na urojo umezidi:A S crown-1:
 
kupanda kwa gharama za vyakula,zanzibar.
zanzibar ,hali imendelea kutishia amani ya wananchi wa zanzibar ;hususan wanao ishi katika kisiwa cha Pemba ,kutokana na kupanda kwa gharama za vyakula kama vile mchele(mapembe) kwa sasa wanasema umefikia 1kg kwa thamani ya shilingi 1,200
thamani hii ni kwa watu wanaoishi katika Wilaya ya Mkoani-pemba.gharama imekuwa juu ya vyakula tena visivyo na kiwango ,vyakula vibovu .katika maoni yao wao walikuwa na haya''jama tumechoka kudhalilika kwagharama za vyakula,bei juu ,wanafanya kusudi hawa ni wafanya biashara tu wakulaumiwa''.Wewe ni mzanibar na hata wewe ni sehemu ya tanzania unalipi la kuchangia ?
toa maoni yako.
Wewe huko sawa kweli au valuer zimesha kaa mahali pake???Uoni uliko wewe nikutype??!!!Kazi ipo!!
wewe vipi unatuondolea mzuka wa sredi bwana.
Toa hayo maandishi hapo juu.
Mimi nimecheka si kingingine ila jamaa alivyodandia dar express kwambele!!
Ayaaah! Jamaa kachanganya maji kwenye mafuta!
Sibora maji na mafuta!!Katia ndimu kwenye maziwa!!

Wadau mwageni points zaidi zitatusaidia wengine
Fuatilia kwamakini unaweza ukapata kilicho chamsingi!!
 
kupanda kwa gharama za vyakula,zanzibar.
zanzibar ,hali imendelea kutishia amani ya wananchi wa zanzibar ;hususan wanao ishi katika kisiwa cha Pemba ,kutokana na kupanda kwa gharama za vyakula kama vile mchele(mapembe) kwa sasa wanasema umefikia 1kg kwa thamani ya shilingi 1,200
thamani hii ni kwa watu wanaoishi katika Wilaya ya Mkoani-pemba.gharama imekuwa juu ya vyakula tena visivyo na kiwango ,vyakula vibovu .katika maoni yao wao walikuwa na haya''jama tumechoka kudhalilika kwagharama za vyakula,bei juu ,wanafanya kusudi hawa ni wafanya biashara tu wakulaumiwa''.Wewe ni mzanibar na hata wewe ni sehemu ya tanzania unalipi la kuchangia ?
toa maoni yako.

Yakhe vipi bana unatukata stimu... ha ha ha...!
 
Kwani kuwahi kwa muda upi? maana kwa wanawake mwingine baada ya saa moja umewahi! please be specific with time!
 
mmh,kazi kweli kweli.yaan mashughuli yote hayo kisa ni kutaka kuchelewa tu?wenye matatizo nitafuteni niwapeni dawa ya kimasai yaani ukitumia hiyo,huachiki kabisa.kwa ufupi hata viagra haioni ndani na hii ni dawa ya asili.ila poleni ati
Mkuu First Lady umekuwa Mganga wa kimasai? EHHH Kasheshe kweli wape watusimu yakowatakupiga uwape dawa ya kuchelewa kuwahi
 
Wandugu,
Kama kuna jambo linakera katika mahusiano ya kingono ni kwa mwanaume kufika mwisho wa safari mapema sana. Ni jambo linalomkera mwanamke lakini nadhani wanaume ndiyo wanakerwa zaidi. Wengine wamefikia hatua mbaya kiasi kwamba jamaa anashtukia amemaliza safari kabla ya kuanza. Sasa katika pitapita yangu nimeweza kupata ujuzi unaoweza kusaidia kupunguza hali hii. Bahati nzuri ujuzi wenyewe nime-apply na umeleta matunda mpaka partner wangu alishangaa sana siku ya kwanza nilipotumia. Wenye elimu zaidi naomba nao waongeze technique hapa jamvini ili tusaidiane katika kujenga na kuimarisha confidence ya kuwatosheleza 'watoto'.

Najua zipo dawa (kemikali) zinazopakwa kwenye 'kichwa' cha yule jamaa lakini ni vizuri kutumia mbinu za asilia zisizotumia kemikali ili kuepuka madhara ya muda mrefu. Mbinu zifuatazo zinaweza kusaidia.

(1) Punguza hisia kali na elekeza akili yako katika kumuandaa mwenzio.

(2) Ondoa mawazo/hisia inayokuelekeza kutaka kumwagia kitu kwenye lile eneo nyeti. Hisia hii, unaweza ukaizuia na ukairejesha wakati muafaka.

(3) Epuka kupumua au kuhema kama dume la bata yaani unapoendelea na mchezo usipumue systematically au consistently. Mara kwa mara jitahidi kukata pumzi kuzuia hewa isiingie. Hii itakupatia stamina ya kusonga mbele zaidi na zaidi.

(4) Anza na 'position' ambayo haikuhamasishi sana halafu malizia na ile ambayo sekunde moja tu safari inaisha.

(5) Kwa wanaotumia 'kifo cha mende' usijilaze juu ya mwenzio kama gunia yaani weight yako yote ina-fall kwa mwenzio. Ukibweteka hivyo huchukui raundi ulimi nje sekunde chache tu. Unatakiwa kum-hold mwenzio kama wanavyofanya wasanii wa sarakasi.

Kadri unavyotumia mbinu hizi, ndivyo unavyoongeza muda wa kufika mwisho wa safari.

I appreciate you,,,,,,100% practical useful. I do the same,me and my wife we greatly enjoy the game a lot,... yaani we ache tuu!
Watu waache kabisa kutumia chemicals to prolong ejaculation........watumie this technic, ni nzuri na salama and as you practise longer,you also prolong the time between ejeculations....ni nzuri sana..
 
mmh,kazi kweli kweli.yaan mashughuli yote hayo kisa ni kutaka kuchelewa tu?wenye matatizo nitafuteni niwapeni dawa ya kimasai yaani ukitumia hiyo,huachiki kabisa.kwa ufupi hata viagra haioni ndani na hii ni dawa ya asili.ila poleni ati

hahah toa namba/mawasiliano watu wakusake wakaweke heshima
 
Nilichokiona hapo kwenye huo uzi ni kimoja tu hisia zaidi kwamba ukipanga kufika kileleni mapema inawezekana and versi versa
 
Njia rahisi kuliko zote ni kutumia condom, hii hazinaga stress ila hakikisha una lubricant karibu.Pia tumia condom ambazo hazibani sana (xtra large) ili uweze kuenjoy zaidi kama (wet n' wild).
Ukitumia zenye vidutu uta ishia kumchubua mtoto wa watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom