Kwa wanaume wanao safiri!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,577
8,596
Kwanini wanaume wengi wanaosafiri hasa kikazi tupo tofauti na wanawake mara nyingi wanaume ujikuta wanalazimika kuwa na mahusiano na hawaridhiki kwenda hotel kulala peke yao lazima wapate kiburudisho kwanini??Lakini kwa wanawake iko tofauti yeye akisafiri vitu hivyo havimsumbui kama walivyo wanaume wao maranyingi hata kama anapata kinywaji atakunywa kinywaji chake mara anaondoka kwenda kupumzika lakini Wanaume lazima ajibidiishe apate Blankethuman!!Why???????????:brick:
 
Sio wanaume wote wenye tabia hizi.Wapo wachache
Kina mama nao wamo pia mkubwa.
OTIS.
 
Kwanini wanaume wengi wanaosafiri hasa kikazi tupo tofauti na wanawake mara nyingi wanaume ujikuta wanalazimika kuwa na mahusiano na hawaridhiki kwenda hotel kulala peke yao lazima wapate kiburudisho kwanini??Lakini kwa wanawake iko tofauti yeye akisafiri vitu hivyo havimsumbui kama walivyo wanaume wao maranyingi hata kama anapata kinywaji atakunywa kinywaji chake mara anaondoka kwenda kupumzika lakini Wanaume lazima ajibidiishe apate Blankethuman!!Why???????????:brick:
KakaKiiza unacho kizungumza kina ukweli sana japo siyo wanaume wote ila sehemu kubwa tuko hivyo mimi mwenye ninapokuwa safari nahisi kama siitendei haki Hotel niliyofikia iwapo nitalala peke yangu, nadhani hii ni researchable topic ngoja tuwaachie wanazuoni waendelee kulijadili
 
wanawake wengi tu nao wana hizi tabia...wanatumia safari kupata ladha mpya...
 
Kwanini wanaume wengi wanaosafiri hasa kikazi tupo tofauti na wanawake mara nyingi wanaume ujikuta wanalazimika kuwa na mahusiano na hawaridhiki kwenda hotel kulala peke yao lazima wapate kiburudisho kwanini??Lakini kwa wanawake iko tofauti yeye akisafiri vitu hivyo havimsumbui kama walivyo wanaume wao maranyingi hata kama anapata kinywaji atakunywa kinywaji chake mara anaondoka kwenda kupumzika lakini Wanaume lazima ajibidiishe apate Blankethuman!!Why???????????:brick:

Sio wote banaaa! na nimekutana nao wengi ambao hata wakiwa safarini kikazi kwa zaidi ya mwezi hawafanyi kama ulivyoandika. Na wengine kama hawako mbali sana na maskani yao kwa mfano anaishi Dar na yuko safarini kikazi Morogoro basi kila Ijumaa atarudi dar ili akawe na mamsap wake na kurudi tena jiji kasoro bahari Jumapili au hata Jumatatu.
 
Kwanini wanaume wengi wanaosafiri hasa kikazi tupo tofauti na wanawake mara nyingi wanaume ujikuta wanalazimika kuwa na mahusiano na hawaridhiki kwenda hotel kulala peke yao lazima wapate kiburudisho kwanini??Lakini kwa wanawake iko tofauti yeye akisafiri vitu hivyo havimsumbui kama walivyo wanaume wao maranyingi hata kama anapata kinywaji atakunywa kinywaji chake mara anaondoka kwenda kupumzika lakini Wanaume lazima ajibidiishe apate Blankethuman!!Why???????????:brick:

aiseeeeeee!..usiusemee moyo
 
Sasa hao wanaume wanajipumzisha na nani? wanaume wenzao au?
 
Kwanini wanaume wengi wanaosafiri hasa kikazi tupo tofauti na wanawake mara nyingi wanaume ujikuta wanalazimika kuwa na mahusiano na hawaridhiki kwenda hotel kulala peke yao lazima wapate kiburudisho kwanini??Lakini kwa wanawake iko tofauti yeye akisafiri vitu hivyo havimsumbui kama walivyo wanaume wao maranyingi hata kama anapata kinywaji atakunywa kinywaji chake mara anaondoka kwenda kupumzika lakini Wanaume lazima ajibidiishe apate Blankethuman!!Why???????????:brick:

Mbona wengine hatupo hivyo?
 
Niliipinga kabisa hio hali na last time nilikua Kigoma nilikaa Hotel ina inaitwa Zanzibar....kulikua na Dada mmoja wa kikongo (nadhani kutokana na lafudhi yake) alinitaka lakini nikachomoa na mwingine alikuwa mhudumu wa pale hotelini. So please sio wote tuko hivyo safari yangu ya mwisho ilikua tarehe 11th September 2011 na nilikua Kibo Hotel-Marangu hapo napo ilikua the same ila nilirudi salam, mi nadhani ni the way unavyoamua kuijiweka, nakubaliana na hoja yako ila nakataa ulivyofanya majumuisho....Ombil langu kwao ni kwamba wabadili Tabia, jenga abia ya kusafiri na Bible au kitabu cha dini yako au hata gazeti ambalo litaku-keep busy, kwa wale walevi hapo sasa....
 
Tuwaulize wadada kwanin wanakubali kulala na mtu mgen hata umjuh daa wana roho ngum wadada
 
Mi bana nikiwa safarini ugonjwa wangu ni pombe, nakuwa mlevi wa kupindukia siwezi kabisa kulala mpaka niwe nimelewa hasaa saa nyingine nalala na viatu hapo hata wanawake nawaona madada zangu tu.
 
Niliipinga kabisa hio hali na last time nilikua Kigoma nilikaa Hotel ina inaitwa Zanzibar....kulikua na Dada mmoja wa kikongo (nadhani kutokana na lafudhi yake) alinitaka lakini nikachomoa na mwingine alikuwa mhudumu wa pale hotelini. So please sio wote tuko hivyo safari yangu ya mwisho ilikua tarehe 11th September 2011 na nilikua Kibo Hotel-Marangu hapo napo ilikua the same ila nilirudi salam, mi nadhani ni the way unavyoamua kuijiweka, nakubaliana na hoja yako ila nakataa ulivyofanya majumuisho....Ombil langu kwao ni kwamba wabadili Tabia, jenga abia ya kusafiri na Bible au kitabu cha dini yako au hata gazeti ambalo litaku-keep busy, kwa wale walevi hapo sasa....
Umenikumbusha mbali mkuu Marangu Baa bado hipo??Kibo bytheway sipapendi weekend maana makelele ya disco,Zanzibar hotel dah!!Ila naomba nikwambie kuna hotel kuna Bible nawatu juu ya Bible wameweka mzigo wa condom!!Sasa hiyo nikazi ni kwako!!But Mostly wakienda safari lazima waende Shivas pande za Arusha Chakonichako pande za Dom,Toplife pande za Moro na sehemu kibao!!
 
Back
Top Bottom