Kwa wanaume waliowahi kuface hii challenge tu!!

wanawake wote baba yao mmoja mama yao mmoja,tafakari kisha uchukue maamuzi.

What a compliment. That means your Mother and this girl are alike. I pitty you Bashaija.
Ukiteswa na John, sema John ni mnyama,hana roho ya huruma.
Ukimfumania Amina, sema Amina ni mchafu wa tabia, hatulii.

Sio kuanza kusema sijui ''all men are the same'' au ''wanawake wote Baba yao na mama yao ni mmoja''
Haiwezekani uumizwe na mmoja then uhukumu dunia nzima, huo ni ufinyu wa reasoning capacity, and insanity too.
 
Back
Top Bottom