Kwa wanaume waliowahi kuface hii challenge tu!!

kanyaga alafu kaa kimya akikutafuta mwambiye .... ku.......ma yako inamaji mengi,so imechuja sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, uwezi kuitumia nawewe
 
kanyaga sawasawa mkuu........................, alafu funga viooooooooooooooo kama kawa

mla uliwa na muosha uoshwa usipotumia akili unaweza jizolea balaa ni kumpotezea tu watu kama wewe unaishia kujikomoa mwenyewe kwa ujinga toa ushauri wenye afya
 
Hiyo inatokea sana tena wakati unasaka mafanikio hujazikamata hata salaam hupati na ukishamaliza masomo yako ukawa juu ya mstari ukikutana nae anakuchekea na ukimpotezea utasikia maneno mtaani jamaa anaringa. Dawa ya huyo ni kumchangamkia kwa salaam na kumpotezea bila kujenga mahusiano ya karibu
 
Duh Mtambuzi sisi "MIJITU YA BARA" hatujui LIMBWATA bwana nyie wa Tanga ndio mwaijua.TE TE TE TE.Umeniacha hoi MTAMBUZI mwenzio naangalia Germany VS Italy
Limbwata liko kila mahali sema tu kila kabila linaita jina lake.........Muulize Bishanga

Mie kwangau umeme hakuna kuna mwendawazimu kagonga nguzo ya umeme.................
Utanisimulia kesho nani kafungwa............
 
Last edited by a moderator:
Kuna sista falan nw anagonga kama 33yr alichagua sana enzi akiwa 20s nayey alikuwa anapga wanaume fukara vbuti vya wazi kuwa awana hadh ya kuwa nae.kuna jamaa yupo wizar ya fedha nw alpata msichana waliependana wakati yupo kwenye process za ndoa ikiwa bado kama miez 4 akakutana na huyu sister du,dada kapewa lift anajichekesha jamaa kamkumbushia kuwa bado anampenda japo alimkataa, dada c kaingia line jamaa kam mega na ahadi ya ndoa kashapewa cku gafla anapokea message ya mwaliko wa arusi ya jamaa mbona dada alipelekwa regency coz presha ilipanda na kushuka kama rejeta ya fiat inavyochemsha.

ahhahhahaa nimeipenda hiyo!
 
Naomba kuwauliza!hivi tuchukulie kwamba katika kipindi cha nyuma wakati bado labda uko shule au chuon kuna dada ambae uliwahi kumpenda lakini kutokana na hali yako duni akakukataa,ila sasa baada ya shule unajipanga vzr kimaisha na baada ya muda unafanikiwa kuzikamata pesa,yule dada ndio anaanza kujipendekeza kwako.utamchukuliaje?

Kwani kisasa hujuwi? Chapa halafu sepa! Halali kujipooza kwa yale machungu ya nyuma.
 
Mnatudhalilisha kwa kweli,kwani ni wanawake tu wanapenda pesa kuna watu wanamapenzi ya dhati
 
Mmoja yuko hapio UDSM kanikwepa tangu niko A'level Tabora Boys, napata shavu anatangaza njaa eti kamtema jamaa yake. Nikatoa neno la kishujaa kaingia miguu miwili, nikazabua mchana usiku. Asubuhi talaka na biti, leo ni almost mwaka umepita......
 
Yaani nilimuonea huruma sana ila sikuwa na kufanya?? tayari nilikuwa nimeshaoa na maisha yangu yanaendelea, ila wakati ule ulikuwa mgumu sana kwangu sitasahau
 
Mmoja yuko hapio UDSM kanikwepa tangu niko A'level Tabora Boys, napata shavu anatangaza njaa eti kamtema jamaa yake. Nikatoa neno la kishujaa kaingia miguu miwili, nikazabua mchana usiku. Asubuhi talaka na biti, leo ni almost mwaka umepita......

Haufai mdau!
 
mkuu hapo unachotaka kufanya ni kuthubutu kukutwa na bwana pepsi..yaan huyo binti hafai..tena usimsogelee kabisa ni matatizo makubwa sana utajiletea kaka...
 
Back
Top Bottom