Kwa wanaume waliowahi kuface hii challenge tu!!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
Naomba kuwauliza!hivi tuchukulie kwamba katika kipindi cha nyuma wakati bado labda uko shule au chuon kuna dada ambae uliwahi kumpenda lakini kutokana na hali yako duni akakukataa,ila sasa baada ya shule unajipanga vzr kimaisha na baada ya muda unafanikiwa kuzikamata pesa,yule dada ndio anaanza kujipendekeza kwako.utamchukuliaje?
 
Mark the territory and stamp the inhabitant son..............................
 
mwe mie nitamchukulia kama mtu mpenda pesa so mie nitampa upenez ila nita mtreat kama sexmate tuu.
 
ni suala la muda yawezekana haukuwa muda sahihi wa kuanza mahusiano .. japo wengi huoenda kumaliza mahitaji yako unapotaka kuliko kutgazama upande wa pili kwa nao una choice
 
Namuambukiza hili gono sugu nililonalo
Naomba kuwauliza!hivi tuchukulie kwamba katika kipindi cha nyuma wakati bado labda uko shule au chuon kuna dada ambae uliwahi kumpenda lakini kutokana na hali yako duni akakukataa,ila sasa baada ya shule unajipanga vzr kimaisha na baada ya muda unafanikiwa kuzikamata pesa,yule dada ndio anaanza kujipendekeza kwako.utamchukuliaje?
 
Kuna sista falan nw anagonga kama 33yr alichagua sana enzi akiwa 20s nayey alikuwa anapga wanaume fukara vbuti vya wazi kuwa awana hadh ya kuwa nae.kuna jamaa yupo wizar ya fedha nw alpata msichana waliependana wakati yupo kwenye process za ndoa ikiwa bado kama miez 4 akakutana na huyu sister du,dada kapewa lift anajichekesha jamaa kamkumbushia kuwa bado anampenda japo alimkataa, dada c kaingia line jamaa kam mega na ahadi ya ndoa kashapewa cku gafla anapokea message ya mwaliko wa arusi ya jamaa mbona dada alipelekwa regency coz presha ilipanda na kushuka kama rejeta ya fiat inavyochemsha.
 
muepuke, ukijaribu tu kugonga anakuwekea LIMBWATA, unachukua jumla halafu chamoto utakiona..................
 
Nawewe huko kote ktk kuzimake hukufanikiwa tu kumpata wa kuzimake nae hadi huyo alokukataa aje tena kujipendekeza?be a man bwana,unamfungia vioo tu,kuchapa sio dawa ulimwengu umejaa malimwengu siku hz,gusa unate!
 
Naomba kuwauliza!hivi tuchukulie kwamba katika kipindi cha nyuma wakati bado labda uko shule au chuon kuna dada ambae uliwahi kumpenda lakini kutokana na hali yako duni akakukataa,ila sasa baada ya shule unajipanga vzr kimaisha na baada ya muda unafanikiwa kuzikamata pesa,yule dada ndio anaanza kujipendekeza kwako.utamchukuliaje?
Unampotezea tu maana hafai, wa style hizo wako wengi! Ilishawahi kunitokea mimi pia, nikapiga chini pasipo kuremba.
 
muepuke, ukijaribu tu kugonga anakuwekea LIMBWATA, unachukua jumla halafu chamoto utakiona..................

Duh Mtambuzi sisi "MIJITU YA BARA" hatujui LIMBWATA bwana nyie wa Tanga ndio mwaijua.TE TE TE TE.Umeniacha hoi MTAMBUZI mwenzio naangalia Germany VS Italy
 
kanyaga alafu kaa pembeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.........................mkuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....................
 
kanyaga sawasawa mkuu........................, alafu funga viooooooooooooooo kama kawa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom