kwa wanaume walio oa (kina baba flani)

asi ungempasha live
au ana id umu jf?

naona km vilemsuto wa klinik umeupeleka benk......TAFAUT....mfate.mpashe.....cha kukuarbia contact yahuu? uchange namba kwa ajili ya gume gume? tel him liveastop ***** akijifanya mbishi we tafuta sahihi mbili tu moja yako moja ya mke wake then mumtoe madarakan..:shut-mouth:


Hahahaaaaaaaaa. Umejitumaa.
 
Ulimwambia lakini, sidhani kama anakuja humu jamvini. Ungempa za uso kuliko kubadilisha no, utabadilisha mara ngapi?

Bora wewe umesema...ila nahisi umri bado tatizo...ndo ule wa kuringaga na kujifananisha na malkia. Maana uzoefu unaonyesha ukitaka kufa na presha tafuta hawa watoto wadogo ambao hawajakomaa kiakili. Ila wakishakomaa kina mama mpaka wanatoa raha.
They know what they want and can communicate with no hurdles or hussles.
 
Teh! teh! teh!
siku moja tuma thread
uulize wana JF kuwa hivi '' wewe kama mwana jf ulikutanaje na mpenz,mke/mume au mchumba wako???"
af uskie watajib nini utakuta ni hayo hayo!
njema wkend!
 
Huyo mme wa mtu,huyo aliyekuja kukaa meza moja na wewe alafu wakakutongoza sidhani yote kama ni issues.mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida,kama umegundua ni mme wa mtu unamwambia tu ukweli hupendelei,na kama jamaa kaja kwenye table yako na kalianzisha nadhani unampotezea tu kiaina,wanawake i know you are so good on this,sasa nashindwa kuelewa kwanini unapata stress kwa mambo madogo hivi..........icje ukawa unahusudu hizi situation Alafu unatueleza just to boost your ego!


tunaishi nae compound moja ana mke
sina muda nao kabisa kabisa
one day nikatoka kwenda shop akaniomba no maana linaweza kutokea tatizo kama jirani tusaidiane nikampa
from there kila siku ananipigia,ananiuliza kuhusu love affairs zangu,anataka tukae mahali tuongee.
nimechange no kwa ajili ya mpuuzi yule
kiukweli
sipendi kabisa urafiki na mume wa mtu sipendi..... sio huyu tu woote
tulieni na wake zenu tulieni
wkendi njema tulieni na wake zenu. acheni unafiki

pili
ni wkend mdada kakaa sehemu kutuliza kichwa hataki usumbufu, nyie wanaume mnaanza kusumbua .... ooh dada nikae hapa ? naruhusiwa ? wakati eneo ni kubwa na nafasi zipo zimejaa
kwanini lakini? mbona sisi hatuwasumbui? mbona sisi hatuwafati ...tuache kusumbuana
wkend njema
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom