Kwa wanaume tu!

na hao wanaume wanasubiri wake zao wawanyoe hawana akili kabisa ungesubiri utawazwe pia. wanawake wana vitu vingapi vya kufanya? akipata nafasi its okay lakini sio kila kitu umwachie.

mie hata kama nina all the time in the world,bado sijamnyoa mtu mananihii yake!...let me be,nyumba ndogo,nyumba kubwa ama medium!..:D:D
 
Hii ni ya kweli na imetokea hivi:
Njemba imekwenda kwa hawara,katika malavidovi ikanyolewa nywele za chini.Akiwa njiani anaelekea nyumbani hawara kampigia simu Bi Mkubwa "haya sema sasa,hata kumnyoa mmeo mananihii hujui,anarudi huyo,angalia nilivyomrembesha kwenye nonino,eheee halo halo". Mzee mzima kuingia tu sebuleni mama uzalendo ukamshinda akaona hata asisubiri mzee aende bafuni ili amkague vizuri,kamdaka hapo hapo sebuleni, 'vua mme wangu,nakwambia vua hiyo suruali',mwanzoni jamaa alifikiri dhihaka lakini alivyocheki sura ya mamsap ikam click akajua hapa kimewaka! swali,mshikaji ungekuwa wewe hii soo ungeipangua vipi?

ndio hapo napochoka nikisikia ya wanawake wengine...
upate tabu ya kusafisha machaka ya mtu,ukimaliza...anavaa mkaptura wake...huyooooooooooooo kwa MKEWE!!!!
mie ningemwambia huyo dada,afungue saloon...awe kinyozi...hii biashara iko bado dorminated na wanaume!..angejipatia wateja simply kwa kuwa kinyozi mwanamke!and since she doesnt mind..kusafisha machaka ya watu...i bet she could make a lot of money in this industry...:D:D

awewe mume wangu umerudi,kama kweli umenyolewa.....huo moto nitakaokupelekea...utaaaaaaajuuuuta kunifahamu!!:mad:
 
Back
Top Bottom