Kwa wanaume tu!

Aisee! This is a possibility ujue! Mungu apishie mbali!

hii kali sana, unajua kuna wanawake wengine wavivu sana kuwafanyia usafi waume zao hata kwa kuwaambia tu.
sasa ukipata mwanamke wa nje ambaye anakuogesha koro.....dan zinawekwa kwenye kisos na kusafishwa vizuri walah hukumbuki nyumbani
 
yaani, hakuna kunanilii? unipake poda na aftershave kisha nikuangalie tu umelala 'kwa amani'? haiwezekani....ni kama tambi na mboga ya majani!

Sasa kumbe unataka nikupongeze kwa kazi nzuri uliyoifanya?? Killing me softly mylove
 
Bishanga,

Huyo jamaa kapigwa 3-0. Ila amelamba bingo, kwa sababu huyo mwizi (nyumba ndogo) amejikamatisha na kumwaga kitia mchanga kitumbua. Huyo bwana awe mpole hata kama atachapwa viboko kama tulivyokuwa tunacharazwa enzi za primary. Vikipoa tu, yeye na wife wake hao wanaenda kupata dinner. Ila huyo mjinga inabidi akauguze maumivu na aanze tena kutafuta mume wa mtu mwingine. Kwa mwendo huo atawamaliza au siku yake ya 40 itafika kabla hata hajafika nusu ya lengo lake!

Mkulu DC nimefikiria tena nikasema "huenda huyu nyumba ndogoa lishamchoka jamaa, na jamaa alivojinga alikuwa amewezesha nyumba ndogo kuwa na contact ya mkewe (a liability) so muda ulipofika akaona njia ya amani na usalama ya kuachana naye ndo hiyo. kumuuzia kesi tu"
 
hii kali sana, unajua kuna wanawake wengine wavivu sana kuwafanyia usafi waume zao hata kwa kuwaambia tu.
Sasa ukipata mwanamke wa nje ambaye anakuogesha koro.....dan zinawekwa kwenye kisos na kusafishwa vizuri walah hukumbuki nyumbani

hahaaaaaaaaaaaa!!!! ZITAWEKWA MPAKA KWENYE EGGCUP HIZO!!
Sasa nawewe kwani usimwambie mkeo unatakaje ???

Excuses tu hizo
 
hii kali sana, unajua kuna wanawake wengine wavivu sana kuwafanyia usafi waume zao hata kwa kuwaambia tu.
sasa ukipata mwanamke wa nje ambaye anakuogesha koro.....dan zinawekwa kwenye kisos na kusafishwa vizuri walah hukumbuki nyumbani
Hey upo? mbona kwenye skype hujibu msg?
 
Hapo hakuna jinsi tena bali nikuweka mambo hadharani na kueleza kila kitu kisha mnaangalia kama mnaweza kufungua ukurasa mpya na my wife wako
 
Sasa kumbe unataka nikupongeze kwa kazi nzuri uliyoifanya?? Killing me softly mylove

Tutapongezana tu my dear. na mi unanikill softly sasa the best scenario itabidi tu nikutake radhi kutoka moyoni manake no more small house, halafu kuapprciate services itabidi na mi nikupe service ya kufa mtu 'to make amends'.....I hope hutanuna usiku mzima! and 'if walls could talk'..
 
Mkulu DC nimefikiria tena nikasema "huenda huyu nyumba ndogoa lishamchoka jamaa, na jamaa alivojinga alikuwa amewezesha nyumba ndogo kuwa na contact ya mkewe (a liability) so muda ulipofika akaona njia ya amani na usalama ya kuachana naye ndo hiyo. kumuuzia kesi tu"

Mkuu wewe ni kichwa, kwani hilo linawezekana kabisa. Huyo mama anaweza kuwa ni kati ya wale wajasiriamali na alishapata capital ya kutosha. Na sasa hili jamaa linaanza kuwa mzigo (liability). Wakati huo watu wanaoweza kuongeza mtaji wamepanga foleni. Duh, kama huyo mama alifanya kwa ajili hiyo basi ni jinias. Wapenzi wa hii kitu (small house) inabidi walipate hili somo. Very dangerous! Anakutumia halafu anakuzika kabisa. Si angemwachia basi amani huko home kwake alipokimbia? Hiyo ilikuwa double punch!
 
...nakunyoa upya huku nikwambia kwa upole na mahaba mazito....
' Huyu amekunyoa vizuri ila hajamaliza vizizi, kwa hali hii zitaota kesho asubuhi ngoja nikusawazishe!!'

hapo utamuua jamaa kwa pressure!!
 
hahaaaaaaaaaaaa!!!! ZITAWEKWA MPAKA KWENYE EGGCUP HIZO!!
Sasa nawewe kwani usimwambie mkeo unatakaje ???

Excuses tu hizo
tunawafanyia sana hasa sisi wanaume wajanja, panakuwa safi kabisa panaoshwa kisha unajua ninj kinafuata?!!!
unaweza kuanza kuandika herufi zote A-Z kwa ulimi pale, unamuona mtu anarusha miguu na kutupa mikono..... kuna raha
 
Mkuu wewe ni kichwa, kwani hilo linawezekana kabisa. Huyo mama anaweza kuwa ni kati ya wale wajasiriamali na alishapata capital ya kutosha. Na sasa hili jamaa linaanza kuwa mzigo (liability). Wakati huo watu wanaoweza kuongeza mtaji wamepanga foleni. Duh, kama huyo mama alifanya kwa ajili hiyo basi ni jinias. Wapenzi wa hii kitu (small house) inabidi walipate hili somo. Very dangerous! Anakutumia halafu anakuzika kabisa. Si angemwachia basi amani huko home kwake alipokimbia? Hiyo ilikuwa double punch!

Na ubaya wa mpambano wa hivi, hauna refa!

dah ngoja niende kwenye kuvunja kamati bana......
 
tunawafanyia sana hasa sisi wanaume wajanja, panakuwa safi kabisa panaoshwa kisha unajua ninj kinafuata?!!!
unaweza kuanza kuandika herufi zote A-Z kwa ulimi pale, unamuona mtu anarusha miguu na kutupa mikono..... kuna raha

hahaaaaa
mi haya ya kikubwa ngoja nimwachie binamu yangu Kaizer na twin Pearl
umri wangu bado
 
Kwani mwenye kosa ni nani?, kati ya mke mume na hawala? maana huyu mke kashindwa kumuhudumia mmewe, hawara kamuhudumia, huyu jamaa hastahili kusumbuliwa ktk hili, ni fundisho kila mmoja atimize wajibu wake ktk ndoa.
 
hahaaaaa
mi haya ya kikubwa ngoja nimwachie binamu yangu Kaizer na twin Pearl
umri wangu bado

sasa B, matwin mlikulia nyumba tofauti hadi wewe uwe mdogo na yeye Pearl awe mkubwa? hahahahahahaaa u r amazing me!
 
Back
Top Bottom