kwa wanaume tu

mhh...mbea ni mimi au wewe uliyeanza kumshambulia mwenzako kwa madai ya kutangaza biashara! Na kabla ya yote topic ni kwa wanaume! Kazi kweli kweli...
Topic ya wanaume kwa aliyekwambia mimi mwanamke??Au unanijua??!Narudia tena acha umbea!!
 
Sehemu yeyote ya mwili wa mwanadamu ikivimba ni ugonjwa. So nenda clinic haraka
 
Mimi mademu wenze vitumbua/sambura kubwa hata siwazimii, hapa namaanisha atakua anakudanganya! Anyway HONGERA kwa kumiliki Kitumbua kikubwa!
 
I'ven't seen comments from great 'SALT' divers! They must have splendid suggesions and whatever it takes!
 
I was curious kujua ukweli wa jambo hili ukizingatia kuwa ni sensitive sana kwa namna yoyote haiwezekani kumuuliza mtu swali la aina hii katika face to face conversation kwa iyo nikaona ni bora kutumia jukwaa hili lenye weledi wa fani mbalimbali kunijuza, maana niliamini objectivity itakuwa ashuadi
Pili wanaume walikuwa target population yangu kwa sababu nilijua kuwa baadhi yao wame experience jambo hili..kwa iyo hawatasema jambo waliosimuliwa au kuhisi tu, watatoa mchango from their own experience. Nachukua nafasi hii kuwaomba radhi wanawake kwa kutowa ingiza kwenye sample hii si kwa sababu sithamini michango yao, bali nilifahamu nao huenda wana experience the samething na hawana hakika ya ukweli au uwongo huu, so nao niliwafanya wawe audience wasilikize wanaume wanatuwazia nini katika hili. Lakini ninakiri kufurahishwa na michango yao walioito na ninaithamini.
Tatu, swali hili halikuwa na jibu la uwongo au la ukweli, yote kwangu pamoja na critics yalikuwa na maana katika utafiti wangu. Ninajua kuwa wanadamu wana perception tofauti, wapo wanaodhani embe ni tunda best na wanaoona si tunda zuri, kitafiti, jibu moja likijirudia rudia mara nyingi hasa ukitumia aina tofauti ya interviews (uki triangulate data) kuna possibility lina ukweli. Na kwa sababu qualitative data haihitaji population kubwa kushiriki, kwa hayo machache mliyoyatoa tayari nilipata muelekeo wa jibu langu. Critics pia zilikuwa muhimu kushape thinking yangu juu ya jambo hili
Nne, narudia kwamba, nawashukuru wote kwa yote, ila wale waliodhani (kwa bahati mbaya) kuwa natangaza biashara nasikitika kuwajuza kuwa hawakuelewa nia yangu njema ya kutambua ukweli wa hili jambo ambalo nimekuwa nikiambiwa na mume wangu mara kwa mara. Naruadia tena nilikuwa curious tu kujua siri hii na sina lengo lolote zaidi ya hili, naomba nihukumiwe kwa dhamira hii ya kuwa wazi katika sensitive ishu hadharani na si vinginenvyo. Na nilileta hii mada hapa nikijua kuwa nitashauriwa na great thinkers kamwe sikuwahi kudhani kuwa jamii forums ni sehemu ya kutangaza biashara zisizofaa.

asanteni sana great thinkers



Hongera sana kwa uvumilivu na ustahimilivu wako.
Na pole sana kutokana wengine kukujibu kwa kejeli na dharau.
Yaani utapangiwa mpaka namna ya kuongea!!!
Nadhani utakuwa umejifunza kitu kwamba si VYOTE VING'AAVYO NI ALMASI.


Kelea,

Nakupongeza sana kwa ujarisi na uungwana wako. Kufanya hitimisho kama hili inahitaji watu makini sana na kuanzia leo hata wewe unajichukulia nafasi miongoni mwa watu wa kariba hiyo.

Ila kama ungeanza na maelezo mazuri kiasi hiki...naamini usingekumbana na majibu mengine ya hovyo uliyokutana nayo. Hata hivyo inaonekana wewe ni mweledi wa mambo ya utafiti na kwa hiyo uwezo wako wa kuhimiri karaha umejionesha wazi.

Ubarikiwe sana na ukitunze vizuri hicho kitumbua kwani ni zawadi adimu kutoka kwa Muumba. Pia usijaribu hata siku moja kufanya sampling kwani unaweza kupotelea huko kabisa kama vile inzi anavyonasa kwenye utando wa buibui!

Safi sana Babu
Busara zako na zidumu
 
Back
Top Bottom