Kwa wanaume tu.... tusaidiane jamani!

Tafadhali wanaume wenye matatizo ya nguvu za kiume dawa ni hii hapa:

Aina 10 ya vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!



Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo miongoni mwa wanandoa, uchunguzi umeonesha kuwa utumiaji holela wa vyakula hasa vyenye mafuta ni moja kati ya sababu zinazochangia kwa kasi tatizo hili.

Kwa kuzingatia hilo, watafiti wa masuala ya uhusiano wa kimapenzi wamebaini aina kumi ya vyakula ambavyo vina uwezo wa kumuongezea mtu nguvu ya kufanya tendo la ndoa. Vyakula hivyo ni hivi vifuatavyo:

PILIPILI
Pilipili zilizocheshwa zimetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia msukumo wa usambazaji damu mwilini, ambao kwa kiasi kikubwa ndiyo unaoweza kumfanya mtu akawa na hisia kali za kimapenzi. Kwa msingi huo, ni vema kwa wale wanaokabiliwa tatizo la uwezo wa kufanya mapenzi wakatumia pilipili si kwa wingi bali kwa kiwango stahili, ili waamshe hisia zao.

PARACHICHI
Aina nyingine ya chakula ambacho husaidia kuongeza uwezo wa mtu kufanya tendo la ndoa ni Parachichi. Tunda hili linauwezo mkubwa wa kuzalisha vitamini E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni. Inatajwa kuwa watu wanaotumia tunda hili kwa wingi huwana msisimko mkali wa kimapenzi na kwa upande wa wanawake husaidia kuongeza majimaji yenye utelezi sehemu za siri na hivyo kuzuia uwezekano wa kuchubuka wakati wa kujamiiana.

NDIZI
Wakati unafikiria uwezo wa kufanya vema tendo la ndoa unatakiwa kuwaza juu ya uimara wa misuli ya mwili ambayo inatajwa kuwa ni sehemu kuu na yenye muhimu katika kujamiiana. Kwa msingi huo ulaji wa ndizi mbivu unatajwa kusaidia kujenga misuli mwilini na kumfanya mtu aweze kuwa hodari katika tendo la ndoa.

CHOKOLETI
Ulaji wa Chokoleti huongeza uchangamfu mwilini na, hivyo kumuwezesha mtu anayeshiriki tendo la ndoa kuwa na mguso sahihi kwenye fikra zake, jambo litakalomuwezesha kupokea hisia za mapenzi kwa urahisi zaidi ya mtu ambaye anakwenda kwenye uwanja wa sita kwa sita akiwa mchovu wa mawazo.

CHAZA NA PWEZA

Aina hizi za samaki zinazovuliwa baharini huwa na madini ya zink na chumvi ambayo yanatajwa kusaidia uzalisha wa vichocheo vinavyohamasisha msisimko wa mwili wakati wa tendo la ndoa.

POMEGRANATE
Ni aina fulani ya matunda mekundu yanayofananana na apple. Haya yatajwa kusaidia kuamsha mishipa ya fahamu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mtu uwezo kwa kufanya tendo la ndoa kwa hamasa kubwa.

MVINYO MWEKUNDU
Mvivyo mwenyekundu unatajwa kuwa na uwezo wa kuuchangamsha mwili na kuongeza msukumo wa damu, kiasi cha kumuondolea mtu uchovu kabla na baada ya tendo la ndoa, hivyo ni muhimu kunywewa hasa na wale ambao wanasumbuliwa na tatizo la kushindwa kurudia tendo.

MBEGU ZA MATUNDA
Mchangayiko wa mbegu mbalimbali za matunda, mfano tikiti, maboga husaidia kuondoa ACID mwilini na kumfanya mtu ajione ni mwenye afya njema.

VANILLA
Vanila husaidia kuamasha hamasa mwili.Mwisho wa aina hizi za vyakula ni TIKITI MAJI ambalo linatajwa kuwa na virutubisho vingi vyenye uwezo wa kuusaidia mwili kuwa na nguvu za kutosha kufanya tendo la ndoa.



 
Unapotaka msaada usichague wa kukuopoa. Unataka nguvu za kiasi gani usije kuua mtu bure. Haya bamia kakudanganya, SUPU YA PWEZA ni sawa. Chukua mayai ya kienyeji mawili mabichi uchanganye na asali vijiko vitatu vya chakula uyapige kwenye glass ya robo lita, sehemu iliyobaki jazia maziwa ya uvuguvugu wa mbali. kunywa lisaa moja au zaidi kabla ya shughuli kuanza. Angalia usije pata kesi za kub..... Kadri muda unavyoenda unaeweza ukapunguza au ikawa ni desturi ya kunywa kila siku asubuhi au jioni. Ukifanikiwa tujulishane hakuna ushauri wa bure aa lakini basi nimetoa sadaka kwani hata wale wengine watajaribu ili waongeze au wajaribu ushauri huu. byebye.
 
Hii issue ishakuwa kama mgao wa umeme sasa... Du! Puu, Mungu mpishie mbali my husband wangu.Amen
 
Dawa yake kunywa maji sana, wk end ukitembelea bar badala ya kunywa bia kunywa maji ya kutosha kama lita tatu hivi, (kabla ya kulala) nzuri zaidi iwe ndani ya masaa matatu mpaka matano. fanya hivyo mara kwa mara. achana na mavidonge yatakusababishia matatizo makubwa zaidi Side effect, siku za mwanzo utakua unapokunywa baada ya lita mbili utajisikia kama unalewa vile/unakosa balansi kidogo, isikusumbue hiiitakwisha yenyewe, kunasababu za kitaalam kidogo kuhusiana na mambo ya food absorptions na electrolyte balance. side effect ya pili ni kukojoa mara kwa mara isikutishe hii nayo ni hali ya kawaida. Du this bro and if you need more help ni pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom