Kwa wanaume tu.... tusaidiane jamani!

Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
309
WanaJF,
Tafadhali kwa wale wajuzi wa madawa ya kuongeza nguvu, naomba wanipatie uzoefu wao. Ni dawa gani inayofaa na yenye madhara kidogo?
 
Hebu jaribu kukimbia kilomita 30 kila siku asubuhi

halafu uniambie after one month....
 
WanaJF,
Tafadhali kwa wale wajuzi wa madawa ya kuongeza nguvu, naomba wanipatie uzoefu wao. Ni dawa gani inayofaa na yenye madhara kidogo?
mkuu,
Mrenda (bamia) ni kiboko yao!! na haina madhara....
Utapata nguvu za simbaaa!!lol
 
Punyeto...hakikisha unanyetoka mara sita hadi saba kwa siku baada ya miezi mitatu utakuwa fiti kabisa
 
WanaJF,
Tafadhali kwa wale wajuzi wa madawa ya kuongeza nguvu, naomba wanipatie uzoefu wao. Ni dawa gani inayofaa na yenye madhara kidogo?

kama unatafuta nguvu za kiroho basi "funga" fasting na kutoa sadaka ndo dawa zinazotoa nguvu hizo unazozitafuta...
ufunge sana mkuu na uwagawie umaskini(mahela) wasio na uwezo ambao ni karibu ya wote TZ!!

Una bahati, nimeona umepewa ushauri wa kila aina hapa ,sasa utachagua wewe mwenyewe upi wa kuufanyia kazi. and good luck! unataka kumkomoa nani kwa nguvu hizo?
 
nguvu gani mnazozingumzia hapa?za kiume??? kama nguvu za kawaida beba vyuma lol,ingia kny mafunzo ya judo/kung fu lol:laugh::laugh::laugh::coffee:
 
Kunywa supu ya Paul a.k.a PWEZA kila siku for 3 months.., trust me hapo utakuwa full network..!!
 
ukikata nanasi kw ndani katikati kuna km mzizi we usile nanasi kata ule mzizi uwe unakula .....
 
Mkuu nguvu za wapi, chini au juu kuwa specific kidogo???

Nadhani anatafuta nguvu za chini. Ebu wajuzi wamsaidie jamaa inaonekana ndoa yake ipo mashakani. Mimi namshauri akazane kufanya mazoezi ili damu isambae vizuri mwilini. Kama anataka nguvu ya kufolenisha mabinti basi atumie hayo madawa.
 
Kwani lazima uwe nazo? Kama huna si utulie tu.
Unajipunguzia adha ya kuchunwa.
 
Back
Top Bottom