Chanzo cha "Nyumba ndogo" ni tamaa, pia ni hali ya kutoridhika ya kile unachofanyiwa au tendewa na mkeo na ndio husababisha haya yoote
Patashika nguo kuchanika!..ila nyumba ndogo juu ya nyumba ndogo lazima usahau kulipa kodi, ila kama kodi haijalipwa si asubirie huko huko? Anakujaje nyumbani kwangu?..Kodi ya nyumba imekwisha unakuta mzee hajatia maguu miezi kama 4 hivi kumbe kapata nyumba kiduchu ingine
We ni kubwa au ndogo?
Patashika nguo kuchanika!..ila nyumba ndogo juu ya nyumba ndogo lazima usahau kulipa kodi, ila kama kodi haijalipwa si asubirie huko huko? Anakujaje nyumbani kwangu?..
thanks thats very logical....ungekuwa na wewe ni mwanaume ungeangalia vitu vipi katika kujenga hiyo ndogo maadamu kubwa ipo......eeh
Lol... Angalia isijekuwa uko ndani ya vijumba vingine....
Kuna kadogo kengine kamemaliza darasa la 7 jamaa anakatolea udenda eti atakalea mpaka form ii aanze kula
halafu mnavyojitahidi kujijali nyumba ndogo zenu!!
Kaizer kumbe una nyumba ndogo?!! mweeeh
anyway, sanasana wanaume wanapunguza protini zao kwa hizo nyumba ndogo hamna la zaidi..ni ku-sex tu na kuonyesha sarakasi zao!!
Oops! sorry, kumbe ni only for men!!
Ukitaka kufaidi penzi kuwa nyumba ndogo
hahaha...Husninyo kwa nini nikutishe,,,,huu ni mjadala nimependa unavouchukulia objectively.
Siku hizi hawafwati hayo ya zamani, utakuta mtu ana kamke kake kaduchu kwa umri na umbo pia afu nyumba ndogo hilooo, bonge la mama yan mkubwa kwa umbo na kwa umri. ODM anawaita 'mashankupe'.. Kaizer ODM katoroka coz amevunja sheria za jf, amefanya 'name calling' anasubiri PAW asahau kwanza ndo atarudi.Hivi hata tukichukulia dhana ya Mke mdogo...
bado ninaamini kabisa kwa mfano wa mababu zetu, wale ambao kwao Dini ilikuwa bado, kuwa hakukuwa na namna ambayo mke mdogo anakuwa na umri mkubwa kuliko mke mkubwa...simply because mara nyingi alikuwa anaolewa baada ya mke mkubwa kuwa ameshaolwa zamani na labda ana watoto
Ninachojaribu kujiuliza ni kama kuna the same trend nowadays........? SL babu ODM yuko wapi saa hizi?