Kwa Wanaume tu, mwanamke ukichungulia shauri yako!!!!!!!

Aseee!
Duh!
Sasa sisi tunaowapeleka dates wetu kwenye mchemsho na kwenye kitimoto inakuaje..!
R U SERIOUS?
Desert ni mlo wa mwisho - a sweet like fruits, cakes, cream caramel etc hahahahh

Hapo watu ndio wamekutana tu wakatoka dinner kwa hiyo mnashauriwa msijifanye mmeshawazoea sana hao dates wenu siku ya kwanza kiasi cha kutaka kuonje vyakula vyao.
 
Back
Top Bottom