Kwa Wanaume TU- Jamani Jembe!!

mnamaaanisha nini hapa TiGO au, du moyo umenilipuka kweli!mtaniua nyinyi watu.

eti ni kama ameweka mrija kwenye chupa ya maji ya uhai, c unajua inavyopwaya? Asprin amenituc tuc kubwa sana.
 
Huu ndio ukweli wenyewe, na sio jembe tuu, hata upande wa pili.
Viongo vyote vya binadamu vinafanya kazi kwa mtindo wa 'practice makes perfect', the more you use, the better and perfect it becomes.
Wale wadada zetu wa zile 'ofisi za usiku''wanaohudumia wateja watano kwa siku, sio sawa na wake zetu majumbani wa mtenda mmoja kila wiki, ndio maana ukipita tuu kule, basi shurti uanzie kule ukamalizie home!

Huu ni mfano hai wa ukweli, na ulinihusu mimi, nilikuja US na mtu wangu, akapata scholaship ya miaka 4, hivyo mimi nikarudi bongo. Baada ya mwaka mmoja nikarudi US for visit, nilipopata huduma, nikakuta hamna kitu kabisa!. Sikumwambia mhusika, ili alinihakikishia uaminifu wake kwangu wa kukaa mwaka mzima akinisubiri. Visit ilipoisha, nikarejea bongo. Kimoyomoyo nikajisemea kumbe climate ya ulaya inabadili ladha! ndio maana ngozi nyeupe hamna kitu!.

Bongo nikamweleza dr fulani ndio akaniambia, ukisafiri muda mrefu, kama mwenza wako ni mwaminifu wa ukweli, atakapopata huduma, utakuta flat kwa kutotumika muda mrefu mpaka upashe pashe ndipo irudie viwango vyake.

Nilivisit tena US baada ya miaka 2 mingine, this time nilipopata huduma, nikakuta yuko fit!, gess what! ni kesi tuu ilifuatia, na wabongo hawana dogo, haukupita muda sio tuu nikaelezwa, bali mpaka kuonyeshwa aliyekuwa akinisaidia kupasha! kipindi chote wakati sipo. Nilipo uliza, ilikuwa kesi, sio kuombwa msamaha, bali kufunguliwa njia na kuonyeshwa mlango wa kutokea!.

heeeiii....kuna majanga kweli kwenye hii sector.
 
Askofu yuko wapi naye aje atupe uzoefu wake natumaini INFI askofu ana mwaka wa 20 sasa jembe lake halijui shamba
Askofu yupi unamzungumzia hapa? Huyu infii wa JF nayemjua? Umekosea njia. Sijui kama kina nyamayao na bht walipona kwa huyu mtumishi!
 
zingine ni cri za kanisa, huwa tunaziachia mle mle tunapomaliza maombi.
 
eti ni kama ameweka mrija kwenye chupa ya maji ya uhai, c unajua inavyopwaya? Asprin amenituc tuc kubwa sana.

Hivyoe? Mi nilikuwa bado kujua. Hivi kupwaya nalo tusi kumbe? Samahani dada yangu!
 
Huu ndio ukweli wenyewe, na sio jembe tuu, hata upande wa pili.
Viongo vyote vya binadamu vinafanya kazi kwa mtindo wa 'practice makes perfect', the more you use, the better and perfect it becomes.
Wale wadada zetu wa zile 'ofisi za usiku''wanaohudumia wateja watano kwa siku, sio sawa na wake zetu majumbani wa mtenda mmoja kila wiki, ndio maana ukipita tuu kule, basi shurti uanzie kule ukamalizie home!

Huu ni mfano hai wa ukweli, na ulinihusu mimi, nilikuja US na mtu wangu, akapata scholaship ya miaka 4, hivyo mimi nikarudi bongo. Baada ya mwaka mmoja nikarudi US for visit, nilipopata huduma, nikakuta hamna kitu kabisa!. Sikumwambia mhusika, ili alinihakikishia uaminifu wake kwangu wa kukaa mwaka mzima akinisubiri. Visit ilipoisha, nikarejea bongo. Kimoyomoyo nikajisemea kumbe climate ya ulaya inabadili ladha! ndio maana ngozi nyeupe hamna kitu!.

Bongo nikamweleza dr fulani ndio akaniambia, ukisafiri muda mrefu, kama mwenza wako ni mwaminifu wa ukweli, atakapopata huduma, utakuta flat kwa kutotumika muda mrefu mpaka upashe pashe ndipo irudie viwango vyake.

Nilivisit tena US baada ya miaka 2 mingine, this time nilipopata huduma, nikakuta yuko fit!, gess what! ni kesi tuu ilifuatia, na wabongo hawana dogo, haukupita muda sio tuu nikaelezwa, bali mpaka kuonyeshwa aliyekuwa akinisaidia kupasha! kipindi chote wakati sipo. Nilipo uliza, ilikuwa kesi, sio kuombwa msamaha, bali kufunguliwa njia na kuonyeshwa mlango wa kutokea!.

Ningekuwa kwenye jukwaa la siasa ningesema ni UFISADI PAPA huu
 
zingine ni cri za kanisa, huwa tunaziachia mle mle tunapomaliza maombi.
[/COLOR]

Nyamayao hivi maombi na Askofu nasikia huwa mnafanya zaidi ya masaa 6 naanza kuingiwa na wasiwasi baada Asprin kuprove a point to me
 
Hahahaha Jamani napenda kupiga ukunga ile mbaya! Hata nikiwa ofisi huwa nenda bath room napata chap chap naendelea na kazi na kumwangalia Nyama Bint Yao

umenikumbusha mbali sana kaka, kuna jamaa hapa kwa ofisi anadai ameshasex na madem wote wa hapa ofisini!kumbe akienda kupiga nyeto anavuta taswira tu ya dem fulani, anavuta hisia kisha anaachia kitu!kwa mtaji huo kawapiga wote hapa, wengine imefika karibu mara 10. Issue ni kwamba kuna washikaji wana wake zao hapa kwa ofisi!duuu!
 
Yaani unamaanisha huyo jamaa anamaanisha hata wewe ameshakumega? LOL...huyo jamaa noma!
 
Back
Top Bottom