Kwa Wanaume TU- Jamani Jembe!!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Wakuu nimepokea PM kutoka kwa mshikaji anaulizia kwa wazoefu hivi mwanaume akikaa miaka kama kumi bila kufanya tendo, jembe lake litakuwa kubwa ama litapungua?

Rev Masanilo, heshima mbele kaka. Napendaga sana post zako mkuu (sio kwa sababu nataka kukutuma ndio ukweli wangu). Sasa naomba unipostie kule kwenye jukwaa la Mahusiano, Urafiki na Mapenzi swali langu hili. Nataka kujua mtu akakaa muda mrefu(>10years) bila kutumia jembe lake, jembe hilo hupungua saizi yake kwa maana ya kimo na unene?

Wakuu na wazoefu msaada tutani!
 
linabaki vile vile lakini kipimo kamili cha jembe la mtu ni sawa na kidole cha kati cha mkono tokea nchani mpaka kwenye juu kidogo ya centre ya kiganja exactly sawa na pale mwanzo wa mstali wa kidole gumba kama ukichora L hivi ndo unapoipata size yenyewe.
kwenye kona ya kidole cha kato na kidole gumba ndio kitu chako kawaida kikiwa mnara.
 
mmh bwana wewe mbona una mambo ?nimecheka yaaaaaaaaan dahh kweli i gharama bure...so unamanisha km una mashaka na size ya mtu inapaswa mabint tukawa tunasample kwa mkono?unachek kiganja +vidole vyake then unajipimia km size unaimudu? mh kweli
 
the more item is used the more it expands.....na ndio maana katika enzi hizo Twiga walikuwa wanatafuta majani juu ya miti wakawa na shingo ndefu. Kwa wafanya mazoezi ya viuongo hasa unyajuaji vyuma utakuta eneo lile ndio linavimba/msuli kama mtu miguu hapigi inakuwa fito
 
jembe lisilotumika miaka kumi si jembe hilo ni nyoya
Sure! Na mwanamme rijali anayekaa miaka kumi bila kukandamiza, mi nadhani ana matatizo. Ningekuwa Mungu ningemnyang'anya hicho kifaa na kumpa kile cha jinsia nyingine. Hayo ni matumizi mabaya ya kifaa cha kazi! God forbid!

[
 
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
Sure! Na mwanamme rijali anayekaa miaka kumi bila kukandamiza, mi nadhani ana matatizo. Ningekuwa Mungu ningemnyang'anya hicho kifaa na kumpa kile cha jinsia nyingine. Hayo ni matumizi mabaya ya kifaa cha kazi! God forbid!

[

kwikwiikwiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!Tehe teheeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakuu nimekumbuka biolojia ya kidato cha sita, mwenzenu sikusoma shule za kata !Kwenye evolution biology kuna law of use and disuse which states that the size of a structure is modified by how much it is used. Kwa maana hiyo kama jembe linatumika sana basi litakuwa kubwa sana lol (Namkumbuka Liyumba) na kama halitumiki basi litapoteza kazi yake (Vestigial organ). Wazee hii vipi?
 
the more item is used the more it expands.....na ndio maana katika enzi hizo Twiga walikuwa wanatafuta majani juu ya miti wakawa na shingo ndefu. Kwa wafanya mazoezi ya viuongo hasa unyajuaji vyuma utakuta eneo lile ndio linavimba/msuli kama mtu miguu hapigi inakuwa fito

:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky: Sure ehee?
 
mmh bwana wewe mbona una mambo ?nimecheka yaaaaaaaaan dahh kweli i gharama bure...so unamanisha km una mashaka na size ya mtu inapaswa mabint tukawa tunasample kwa mkono?unachek kiganja +vidole vyake then unajipimia km size unaimudu? mh kweli
Kilichokuleta huku kwenye sredi ya wakanamizaji ni nini?

Hata wewe nikiangalia mdomo wako najua kikojoleo chako kina dayameta gani....:A S 8:
 
litapungua kwa masturbation anayofanya, miaka 10 mchezo, watu mwezi wanajinyonga nyonga vitandani.
 
Sure! Na mwanamme rijali anayekaa miaka kumi bila kukandamiza, mi nadhani ana matatizo. Ningekuwa Mungu ningemnyang'anya hicho kifaa na kumpa kile cha jinsia nyingine. Hayo ni matumizi mabaya ya kifaa cha kazi! God forbid!

[

Mkuu jembe lako lingekuwa kama chaki ama kifutio nadhani lingekuwa halipo kabisa!
 
Back
Top Bottom