Kwa wanaume Tu....I fainally Got....

Mchungaji by the time mtu unamaliza kusoma hichi kitabu unakuwa ume-paralyze kabisa kama sio kupooza
 
I finally got the book that will help you understand women better. Let me know if you need a copy!

attachment.php


Mi nataka hard copy, ili kila mwanamke ajue ninacho na ninakisoma.
Watajileta wenyewe kwa wingi, maana watajua sasa nafahamu exactly what they need
Ni-printie mchungaji, halafu nitumie kwa DHL
 
Kijana lazima uwe na kopi hawa wenzetu kuwaelewa ni ngumu sana!
Nafikiri Mchungaji nikipata soft copy ya hiki kitabu nikiwa nakaribia kumaliza kusoma macho yatakuwa yanaelekea kupofuka, Hizo page alizofikia huyo jamaa namuona anaanza kukata tamaa kabisa
 
Mimi ni dada wa mkaka, nachukue copy kwa niaba mana wadada wanamzingua na hua haelewi afanye nini... Rev napo hairuhusiwi???

Hahahaha umeisha nichakachua! Haya bwana umesindikana ila usikisome wewe....
 
seriously mkuu....:gossip:
you can also check appendix 22,998,001-IV :doh: wanazidi kuweka mkazo hili angalizo ukizidi kubisha tu utashushiwa :brick:

Appendix ya Milion 22 laki tisa tisini na . . . . . .
Ebanaeeeeee!!!!!
 
seriously mkuu....:gossip:
you can also check appendix 22,998,001-IV :doh: wanazidi kuweka mkazo hili angalizo ukizidi kubisha tu utashushiwa :brick:

Kamanada...wakati niko page ya 25,989....mara wife ananipigia anataka nimwambie kwanini jana nilichelewa kurudi home....Hebu mwambie Masa kama ana kitabu kingine. Hiki hakitoshi. Hawa watu unatakiwa uwe unawasoma daily.
 
Leo tutazijua sana jinsia za watu.....Leo ndo mwisho wa kuwaPM Pearl na Lizzy. Kumbe nlikuwa natongoza midume myezangu bana.

Hahahhaha....uzuri ni kwamba ulizonitumia nnazo ukiacha tu nakuumbua!!!:evil::bange:
 
Mi nataka hard copy, ili kila mwanamke ajue ninacho na ninakisoma.
Watajileta wenyewe kwa wingi, maana watajua sasa nafahamu exactly what they need
Ni-printie mchungaji, halafu nitumie kwa DHL


Acha kujidanganya... kama umekosa umekosa tu.... na kama ni muuza vitumbua atafurahi tu kua amepata pa kufungia milele....
 
  • Thanks
Reactions: CPU

Similar Discussions

Back
Top Bottom