Kwa wanaume Tu....I fainally Got....

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
I finally got the book that will help you understand women better. Let me know if you need a copy!

attachment.php

 

Attachments

  • women.jpg
    women.jpg
    47.8 KB · Views: 497
Yaani kwa kutoa tu hio limitation

Kwa wanaume Tu....I fainally Got....


Ndo mimi personally hua nashindwa vumilia...LOL .... Naamini lakini kila mmoja akipata copy mambo yatakua murua...
 
duh!haha haha haaaa
Vines and Rines mara 1000
hicho mtakimaliza lini kukisoma??
mchungaji utasahau mistari yote ya biblia ukimaliza hicho kitabu

By the time mkimaliza kukisoma mtakuwa mumeshapooza viungo
 
Mchungaji nahisi kukupenda, am i contradicting the laws of ur church?

(siichangii hii sred)
 
Mmmmmhhh......Mkuu...naomba unitumie soft copy yake manake sintaweza kuibeba kwenye laps zangu.
 
We umeshasoma ukamuelewa mama mchungaji???

Sorry nimeshindwa kujizuia nlitaka kujua mnapeana siri gani humu!!
 
duh!haha haha haaaa
Vines and Rines mara 1000
hicho mtakimaliza lini kukisoma??
mchungaji utasahau mistari yote ya biblia ukimaliza hicho kitabu

By the time mkimaliza kukisoma mtakuwa mumeshapooza viungo
umenikumbusha kitabu kimoja kikubwa sana lakini useless kabisa kwa tuliosoma baiolojia.. the name was Vines and Rees... volume I and II
 
Hebu msome mtumishi wa Mungu hapo chini kwa makini. Tutakuvua sketi....shauri lako.

Babu acha unoko....mimi ni mgeni rasmi maana ni part of the practical.....nataka kuona kama naanza kueleweka au inakuaje!!Then angalia jibu la mchungaji hapo chini.....linanisapoti kwasababu mi naona nna haki ya kuwepo na yeye amekubali kwamba niko sawa!!!Btw nimevaa suruali....hhehehe

Mambo ya ufahamu tu niko ukurasa wa 14,301 mwandishi anasisitiza kuwa wanawake huwa wako sahihi wakati wote!

Ukifika katikati njoo unywe uji usije ukagundua siri ya maisha na kufa hapo hapo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom