Kwa wanaume tu: Anaomba ushauri

Kibarua kwanza.

Kisha ndio mengine yatafuata.

Mlimbwende atavumilia, ila itafika wakati atachoka.

Wenyewe Warembo wana msemo wao "Love don't pay the bills"

Sasa huyo Rafiki yako awe makini.

Huo mwanzo, atakuja chokwa
 
Maelezo yako hayapo wazi sana mkuu. Twambie uhusiano wa msichana na jamaa kuachishwa kazi uko wapi. Isije kuwa ndio mnataka kumpiga kibuti huyo dada baada ya kupata kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom