Kwa wanaume; naomba ufanye jaribio hili asubuhi hii...

Vp na sie ambao tupo mavyuoni bado? can it do work kwa maticha or maprofs? Mwongozo tafazali mh. TUKO
 
Lol mkuu hii kali. Leo nimegundua kuwa wafanyakazi wengi hapa kibaruani ni member wa jf. Maana kila ninayemwamkia hivyo anatabasamu na kunambia, 'ndo unatekeleza?'
Naona zoezi kwangu limekuwa biased, ngoja baadaye nitajaribu bar!

Hahahahahaa...! pole yako Chall'angu..! hiyo blue sidhani ka utapata negative responsez..!!
 
kama asubuhi hii ofisini kwako kuna mwanamke (hata kama mke wa mtu), ambaye bado hujaonana naye, ukionana naye, katika salamu changanya na neo "umependeza sana". I mean kwa mfano 'Mambo... umependeza'
Then angalia jibu na response utakayopata, kisha tutaidiscuss baadae.

Leo nimeamua niwashirikishe katika tafiti zangu ili akina Marytina wasianze kuniuliuliza mambo ya sample size...
Nilitoka ofisini mapema sana ila niliporudi 12:00 mkaka flani akanirushia 'Marytina umependeza' nikajishauri kidogo kabla ya kujibu manake asubuhi tulionana gafla nikaona wenzangu wakicheka kumbe wameisoma hii hapa JF.
 
Mi niko likizo, wife kaondoka asubuhu asubuhi, sasa najiuliza hii niiapply kwa mdada wetu wa kazi au niipotezee nisije leta matatizo! Mwongozo tafadhari.
 
Dooh mpaka sasa kaambiwa na Bosi wake...KAROHO KANAUMA!!!

Kwa nini karoho kaume? Kwani hajapendeza kweli? Huyo bos wala si wa kumtilia hofu kwani anafuata mkumbo wa alichokisoma FJ. Kama angekuwa anataka kusalandia my wife wako wala asingesubiri hadi leo
 
Aisee, mimi nimefanya hii kabla ya kusoma hata hii post. Kuna binti..ni mdogo kwangu kiumri leo kaja kapiga kiofisi kweli kweli..kapendeza cha-maukwelii, nimemwambia kaepndeza akabaki kujichekesha na smile ambalo nimeliapproximate kuwa abt 2minutes long.
sasa amejipitisha hapa kwangu mara mbili tayari anasmile tu!

mmhh wewe mbea jaman mwee..!!!!!!!!!1
tabasamu dk mbili cheko dk ngap sasa?
ehh aya!!!!!!

io boksa imekutoa leoa du ..kesho vaaa tena iyo iyo!!!
 
Hata kama sijajaribu nina uhakika jibu litakuwa ni tabasamu alafu "Asante", ndivyo culture ustaarabu ilivyotufunza, ukisifiwa unasema asante hata kama unajua unadanganywa wala hautauliza kwanini huyu anasema hivi.....

Kwahiyo nina uhakika jibu la research yako itakuwa ni neno Asante, au kwa wale wapenda maneno mengi itakuwa.. mmhh kweli, haya Asante
 
kama asubuhi hii ofisini kwako kuna mwanamke (hata kama mke wa mtu), ambaye bado hujaonana naye, ukionana naye, katika salamu changanya na neo "umependeza sana". I mean kwa mfano 'Mambo... umependeza'
Then angalia jibu na response utakayopata, kisha tutaidiscuss baadae.

Leo nimeamua niwashirikishe katika tafiti zangu ili akina Marytina wasianze kuniuliuliza mambo ya sample size...
hiyo tunaita tia maji tia maji... wanakenua utafikiri nini aisee
 
kama asubuhi hii ofisini kwako kuna mwanamke (hata kama mke wa mtu), ambaye bado hujaonana naye, ukionana naye, katika salamu changanya na neo "umependeza sana". I mean kwa mfano 'Mambo... umependeza'
Then angalia jibu na response utakayopata, kisha tutaidiscuss baadae.

Leo nimeamua niwashirikishe katika tafiti zangu ili akina Marytina wasianze kuniuliuliza mambo ya sample size...

Huwa nachukulia huyo ni mwanaume dhaifu sana!
 
Mi niko likizo, wife kaondoka asubuhu asubuhi, sasa najiuliza hii niiapply kwa mdada wetu wa kazi au niipotezee nisije leta matatizo! Mwongozo tafadhari.
matatizo yatakujaje?
au afta kusema UMEPENDEZA..una ajenda ingne unataka kuitoa?
km issue ni umeopendeza tu ata mamako mzaz waweza sema lakin ikiwa ni km key word kwa mengneyo kufuata basi uchune tu..MCHEK WAIF MWULIZE UMETOKAJE LEO?....akiikujibu mwambie najua utakua umetoka bomba kishenzi leo..
 
Vp na sie ambao tupo mavyuoni bado? can it do work kwa maticha or maprofs? Mwongozo tafazali mh. TUKO

kwan akiwa prof au ticha wako ndo uanamke unamtoka?au anakuwa si bnadamu tena?
we idondoshe tu...ticha umependeza leo......prof dah sjui umetumia principle gan kujiapangilia leo cz dah umependeza kwelikweli...km ingekuwa DIZATESHEN..basi ngekupa A PLUS...
 
kutokana mie ni mwanamke nimeamua nimwambie mwanauma wa ofisini umependeza kajichekesha tu. Haopo vipI maana nimeamua kupindua post
 
Back
Top Bottom