Kwa wanaume na wanawake walioa/kuolewa tu.

Upo juu baba nami namuunga mkono huyo shemeji yetu tayari kesha kujua mapungufu yako na kuyakubali.


Ukishajijua weye si mkamilifu; huwezi kupoint out kasoro za mwenzako mpaka mkafarakana................siri kubwa ni kujitambua na kujikubali
 
Swali? Kama ikitokea watu wakapewa nafasi ya kuoa/kuolewa tena baada ya kuwa katika ndoa aidha ya kidini, kimila au kiserikali ni wangapi ambao wangechagua kuishi na wenzi wao wa sasa?

Wooote wangechagua kurudia zoezi la kutafuta mchumba!
 
Back
Top Bottom